Nini cha kufanya pindi unapogundua mke anatoka nje ya ndoa na pia unapobaini kwamba kumbe ni tendo la siku nyingi na pia amekuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja

Wala hakuna la kujadili hapo.Fukuza kabisa na usigeuke nyuma,anza maisha mengine tena.yaan akulishe makombo na ww bado ujadili nae tena? je ulimuoa ama alikuoa?
Achana nae kabisa maana hamtakaa salama maana kila siku wkt iatakuuma tu tu hata kama ameomba msamaha kiasi gani. KilA wakiweka mchezo wa kuigiza unaona kama wanalenga wewe au ukikutana na hizo njemba hasira zirudi upya. ukipita karibu na sehemu walipokuwa wakifanyia hayo matendo pia uchungu unarudi upya. ni bora kupisha yote kwa kuachana nae.
Dini inazuia taraka(bible)unless una concrete evidence ya uzinz wake,usijefuata maneno ya watu ukamuacha mkeo while bado unampenda,kama wewe ni muislam oa mwingine faster na huyo usimwache,
Huu ni ushauri tu but at the end MZIGO NI WAKO.