Mwanamke kutofika kileleni kosa la nani???

Mwanamke kutofika kileleni kosa la nani???

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,307
Reaction score
3,416
Je kosa ni la mwanaume ambaye hajamkfikisha kileleni na hajui kama kamfikisha au la?au kosa ni la mwanamke ambaye hajafikishwa na hasemi ili next time afikishwe kileleni,ana pretend ameenjoy na kufika kileleni kwa kuogopa kumkwaza mpenzi wake kwa kumfanya hajui mapenzi??
 
Hapo inategemea yawezekana ikawa ni mwanamke au mwanaume ila sbabu kubwa niulimbukeni wamapezi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kama kazi yenu ni kutafuta nani mwenye kosa, bora mkaenda mahakamani maana wanajua jinsi ya kutafuta nani mwenye hatia.
 
labda buti na fimbo walizotumia kupandia mlima hazikuwa na viwango so kampuni waliyoingia nayo mkataba ndiyo ya kulaumiwa
 
...!!! HII NI KWA WANANDOA TU !!!
=
black-couple-taking-bed_medium.jpg

=

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kamamwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye ******) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapoutaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi.Tumia kidole chako cha kwanza na taratibuzungusha zungusha kidole juu ya kinembe,pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamuwa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengiwatafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe nah ii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi.
Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,siorahisi kwa uume kukifikia kinembe,hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudikabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake,utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo w kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishiomingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chako kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. ****** YAKE.
Wanawake wengi wanapenda****** yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni,mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama msarafu,hutofautiana kutoka mtu namtu.Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia.
 
labda buti na fimbo walizotumia kupandia mlima hazikuwa na viwango so kampuni waliyoingia nayo mkataba ndiyo ya kulaumiwa

Somo limetulia
 
wake zetu kumbe ndo mana wanapenda "kusafishwa" miguu!
..
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
Kucha.jpg
pedi2.gif
 
wake zetu kumbe ndo mana wanapenda "kusafishwa" miguu!
Kucha.jpg
pedi2.gif
Hii style wanawake kuoshwa miguu cjui waliipata wapi,tz kuna mambo mwee!!,yaani sasa hv ndio kama fashion vile!!!
 
jamii inisamehe kwa naloenda kuandika,na hasa watoto walioko humu na wale wanaosikia kichefuchefu haraka.
Baada ya 12 zilizotajwa hapo juu nakusaidia kwa kukuongezea moja

13.zungusha ulimi wako kwenye tundu la haja kubwa kwa ustadi mkubwa kama dakika moja na nusu mpaka mbili.
akikuacha njoo unipm nitoke jf
 
Hii style wanawake kuoshwa miguu cjui waliipata wapi,tz kuna mambo mwee!!,yaani sasa hv ndio kama fashion vile!!!

wee unashangaa TZ leo wenzako walishaanza siku nyiiingi mpka wanaume wanaoshwa miguu na kukatwa kucha nakuzifanya kuwa nadhifu SIO mbali hapo tu kenya na ug siku nyiingii!
 
jamii inisamehe kwa naloenda kuandika,na hasa watoto walioko humu na wale wanaosikia kichefuchefu haraka.
Baada ya 12 zilizotajwa hapo juu nakusaidia kwa kukuongezea moja

13.zungusha ulimi wako kwenye tundu la haja kubwa kwa ustadi mkubwa kama dakika moja na nusu mpaka mbili.
akikuacha njoo unipm nitoke jf

wewe uko juu naona hata tigo iko karibu sana
 
wewe uko juu naona hata tigo iko karibu sana
huwezi kumla mkeo tigo itamsumbua wakati wa kujifungua,labda kama kazoea hayo maisha ya enzi akiwa anafanya mazoezi kabla ya ndoa.
Hapa tunaongelea romance na jinsi ya kumsisimua mwenzi,ni ufundi tu,najua umesha wai kuonja tendo ila raha kamili bado ujaijua. test uone
 
Back
Top Bottom