..........kuna demu wangu mmoja............ hii bila shaka yeyote inaonesha kuwa huyu mmoja ni miongoni mwa wingi ambao tayari unao. Hiyo " tu" kama ungeliiweka kama ulivyopendekeza basi ungelikuwa umeweka wazi zaidi tu kuwa unao mademu wengi, wala isingefanya uonekane kuwa unaye huyo mmoja tu.