tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Mimi siweziWewe unaweza msifia mwanamke mwingine mbele ya mkeo?
Hata wanaume huwa mna oa wanawake ambao sio chaguo lenu tena ni wengi ndio maana michepuko haiishiKwanza inabidi uelewe wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio chaguo lao ila atafanya nini wakati ndio kaishajiingiza kichwa kichwa na yeye anatamani ndoa anaona miaka inaenda bila ya anaempenda kumuoa mwanaume ndio huwa anaoa anaempenda
Hoja yako haina mashiko chukulia mwanaume ndio anayetongoza ndio anaetangaza ndoa na kiukweli huwezi kumuoa mtu ambae humpendi Mara nyingi mwanamke anaweza hata akatengana na buzi lake kisa kapata bwana wa kumuoa ila bado ataendelea nae cha mwisho hakuna mwanaume anaekwenda nje bure bure Mara nyingi huwa mistreated inapelekea hivyoHata wanaume huwa mna oa wanawake ambao sio chaguo lenu tena ni wengi ndio maana michepuko haiishi
Ah ah ah et haina mashiko. Ngoja watu wazima waje watakuambia hich nikisemacho ni kweli kabisa. Yanatokea tena sana tu kama huamin fanya research kama watu kumi hiv au 15Hoj
Hoja yako haina mashiko chukulia mwanaume ndio anayetongoza ndio anaetangaza ndoa na kiukweli huwezi kumuoa mtu ambae humpendi Mara nyingi mwanamke anaweza hata akatengana na buzi lake kisa kapata bwana wa kumuoa ila bado ataendelea nae cha mwisho hakuna mwanaume anaekwenda nje bure bure Mara nyingi huwa mistreated inapelekea hivyo
Ha ha ha! Ubabe huu sasa.Simple mathematics, mwambie akaolewe na huyo anayemsifia