Mwanamke kulia njaa kajitakia.

Si kweli ladba we hutamaniwi kwasababu huna mvuto.
Pia wengine wameacha mahusiano kwa sababu ya usaliti ila bado wanataman wanawake.
We kama hutongozi isiwe gia ya kusma wanaume hawataman!
Vinginevyo na ww ni mle mle tuu.
Hivi umeelewa ulichoquote kweli, au umuhemkwa tu!!!
 
Huwaga mnasema kwani?
Embu wacha ujinga, hao wanaopiga wanaume mkwanja sio hao tunaopishana nao daily au? mbona hawafi?
mwisho wao unakuwaje? omba hela kwa mwanaume fanya mtaji ila siyo kila siku kuombaomba, ndo maana sasa hivi wanaume mnapenda vya kupewa
 
Kila mwanamke ni muuza mbunye!
 
Hivi umeelewa ulichoquote kweli, au umuhemkwa tu!!!
i don fucky with u anymore.
Tumia muda mwingi kujenga afya yako watu kama sisi hatutakusaidia chochote ulimwengu mpana ndugu.
Who are u kwani?

Mtu kutoa ushuhuda ni tatzo? We sema umeishi/unayaishi hayo maisha.
 
sijawahi kulia njaa, silii njaa na sitolia njaa kwa kutegemea hela ya mwanaume, mtoa mada ungekuwa mwanamke sasa hivi ungekuwa umekufa na maradhi kwa tamaa zako za kupenda vya kupewa
Maneno tu hayo .....
 
i don fucky with u anymore.
Tumia muda mwingi kujenga afya yako watu kama sisi hatutakusaidia chochote ulimwengu mpana ndugu.
Who are u kwani?

Mtu kutoa ushuhuda ni tatzo? We sema umeishi/unayaishi hayo maisha.
Duuuuh!!! Hebu fanya uolewe, stress zako usimalizie kwangu.
 
Kweli hii ni hatari kubwa kama imefika hatua hiyo.
Hali ni mbaya sana dady, ujue kila kitu kina a starting point, utatamani taratiiiibu mwisho wa siku unafanya kweli. Mungu tu atusaidie na hawa watoto wetu wa kiume. Hali ni mbaya.
 
We jamaa ulitumia ID ya kike ilikutuchunguza wanaume ili IKUSAIDIE NINI

Maana nafikiria lengo lako hata silipatii picha

Lengo lako lilikua upige pesa za wanaume kwa kujifanya wakike au

Au ndo zile ajenda za siri za akina DAVID CAMEROON
We fala mm sio tapeli. Nimesema nilifanya hivi kwa makusudi maalumu tuu. Sijapiga hata senti ya mtu hpo. Halafu hela za hivi hazidumu madhara yake ni mabaya sana, kwanini ule jasho la mwenzio?

hapo kwenye red si kweli labda kama una chuki na mm ushapata gia.
 
Si kweli ladba we hutamaniwi kwasababu huna mvuto.
Pia wengine wameacha mahusiano kwa sababu ya usaliti ila bado wanataman wanawake.
We kama hutongozi isiwe gia ya kusma wanaume hawataman!
Vinginevyo na ww ni mle mle tuu.
Wewe kicheche mwanangu hawezi kuwa miongoni mwa waajiliwa wa hilo danguro unalojaribu kulipendekeza humu jamvini.
 
Reactions: ipy
Duuuuh!!! Hebu fanya uolewe, stress zako usimalizie kwangu.
Kwani ww mbuzi nani kamfata mwenzie? kama uliona mada ni ya kipuuzi we ungeendelea na maisha yako hakukuwa na haja ya kuja kutokwa povu huku?

Au unazai ID mpya ndo ujanja?
 
Hali ni mbaya sana dady, ujue kila kitu kina a starting point, utatamani taratiiiibu mwisho wa siku unafanya kweli. Mungu tu atusaidie na hawa watoto wetu wa kiume. Hali ni mbaya.
Ni kweli, sasa kama huyu naona kujifanya mwanamke anachuma pesa za wanaume kwa hiyo anaona ikiwa yeye kafanikiwa kwa nini wanawake wenyewe wasiweze. Duuu dunia imekwisha mwanangu!
 
Reactions: ipy
Wewe kicheche mwanangu hawezi kuwa miongoni mwa waajiliwa wa hilo danguro unalojaribu kulipendekeza humu jamvini.
Peleka chuki zako kuzimu huko. Sisi tunataka tuelimishe wenzetu wala si kutetea ushenzi.
Life matter et!

Umeona nifanyacho hakina maana basi we pita ivi.. Hakuna haja ya kuzozana na mm
 
Hali ni mbaya sana dady, ujue kila kitu kina a starting point, utatamani taratiiiibu mwisho wa siku unafanya kweli. Mungu tu atusaidie na hawa watoto wetu wa kiume. Hali ni mbaya.
Mwenyewe hujulikan kama ni mwanaume au mwanamke sjui we bisexual? embu tuweke wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…