Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu
Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3
Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye
Mwanamama amebaki kulia tu,amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno
Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida
Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile
Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa
Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa
Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?????
Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?
Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani
Sio siri nimebaki nasikitika
Kwani mume alipokuwa anataka kukuoa hakukoleza kitandani ili uwe mwaminifu kwakeHujawahi kugegedwa kwa kukolezwa wewe.View attachment 1182080
Kuwa uyaone mdogo wangu utamu wa ile kitu ughhh
WoiiiKuwa uyaone mdogo wangu utamu wa ile kitu ughhh
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mchepuko unanoga ?Unaambiwa maumivu ya kuachwa kama mpenzi ni cha mtoto kwa maumivu ya kuachwa kama mchepuko,,
Mimi kama mume ningeliongezea dozi ya life tu ilo janamkeNimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu
Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3
Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye
Mwanamama amebaki kulia tu,amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno
Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida
Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile
Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa
Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa
Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?????
Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?
Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani
Sio siri nimebaki nasikitika
Woiii
Hahaaa wewe mtoto