asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
loh ngoja nikazane na diet nakosa nafasi hiii.. loh
Ni pm nkuunganishe na unaemuitaji
Pole sana naona una "internal war" usishughulike na watu wanasema nn ...utapunguza siku za kukaa hapa dunian
you never know miss chagga , jitahidi uje kuning'oa
aya rafiki kuanzia leo sili
Nenda mjengoni kamchukue watoto wa njiwa
habari!
Nahitaji mpenzi mwenye sifa kuu kuwa awe kimbaumbau/portable , sexy , presentable na asiwe mtu wa kujivunga vunga hovyo.mambo ya sitaki nataka hayana nafasi hapa kwangu..........
matukunyema na size ya kati yameshanichosha , ukitembea naye tension kwenu , akitembea mwenyewe miluzi , akivaa nguo anatafuta namna ya kupunguza ndembendembe na mimi wivu hauishi........... nataka amani ya mpenzi wangu kutokuangaliwa angaliwa wala kutolewa mate na mijicho.
watu kama Madame B , amu , Passion Lady , Heaven on Earth and company, you dont stand a chance hapa.
Nipo serious kuliko kimeta , aliyeinteresting aje PM.
loh ngoja nikazane na diet nakosa nafasi hiii.. loh
Hawa vimbaumbau leo tu kesho akiridhika anakuwa bonge sasa sijui utamfanyaje....
aisee unataka uwe unagonga kwenye mafupa?
unatosa unatafuta kimbau mbau mwingine
hadi uje udietike utakuwa umechelewa
usipokula kabisa noma besti ,fanay dieting tu yenye heshima kiafya.
loh ngoja nikazane na diet nakosa nafasi hiii.. loh