Mwanamke kifua bwana!!


Ha ha ha ha ha! We mtoto ni chizi!
 
Acha tamaa zilizo nje ya uwezo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
For real nikijiangalia sa hivi naona angalau yapo ya kuvalia vest


Au we unaona bado sina kabisa?
Kwahiyo ya kuvaa braa bado sana??

Nilikuwa na kidogo kina viziwa vidogo,,nikivishika kinaona aibu

I feel you..kuwa na hiyo pia kunamwondolea mwanamke confidence
 
Amini usiamini kitendo cha kufikiri mimi ni mchaga kimenifariji sana

Asante sanaaaaaa bigmind
Salimia huko kishumundu..! Ujue u shemela wangu etiiiii..! Mimi dada yako hana tako waka manyonyo ila mpk leo najiuliza nini kilisukuma pale, ingawa si haba life inasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupia picha tulione bc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…