Mwanamke kifua bwana!!

Nisaidie hiyo mbinu dear, maana naishia tu kuvaa braa za masponji ili kuyaboost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nayapenda makubwa mie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tuone kapicha mkuu[emoji16]

Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
 
Kipigwa naniliiiuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga Mkono hoja ila yasiwe makubwa sana,yawe ya wastani na manene mafupi unakuwa na umbile la kuvutia pia huku nyuma panatakiwa paumuke angalau utofauti wa mwanamke na mwanaume uwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah tangu zamani hakuna kitu nilikuwa nachukia kama kuwa na ziwa kubwa nashukuru nilipata size ya kati ila nilitaka yapungue zaidi [emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah tangu zamani hakuna kitu nilikuwa nachukia kama kuwa na ziwa kubwa nashukuru nilipata size ya kati ila nilitaka yapungue zaidi [emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie bado nina harakati za kufanya yaongezeke manake bado nikivaa shati ama gauni kubwa kubwa hayaonekani lakini maendeleo sio mabaya πŸ˜‚ 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…