Mwanamke kama huyu ni malaya?

Too late, umeshachelewa mkuu. Ulishapotea, tulishakupoteza mkuu. Ngoma haisubiri ushauri

Shauri yako, mimi huwa nawapima HIV kwanza, kisha kunyoa au kutonyoa vuzi baadae. Sipendagi ujinga kabisa....
 
Wanaume hamna jema jamani...akiwa na msitu basi mwanamke ni mchafu..akiwa na kipara basi mwanamke huyu Malaya ..mwatakajeeee?

Na wewe mwandishi kwanini hukumwambia mwanamke wako kuwa unayapenda hayo manyonya huko chini....chaaaa!
 
huo ni usafi tu mkuu, hivo vitu sometime huwa ni uchafu tu hasa kwa mwanamke, ila kama hupendezwi na hali hiyo mwambie kuwa asiwe ananyoa zote aachie kidogo, kuwa huru mkuu huyo ni mpenzi na atafanya lile upendalo kukuridhisha wewe. mimi binafsi sipendi ndevu naona ni kero/sio ustaarabu ila kuna wanaofuga pia, kwangu siku zote kidevu ni cheupee hivyo ni mtazamo wa mtu..kwann umuhukumu mtu kwa pointi zisizo za kisayansi kabisa
 
Huyo ni msafi, na usafi ni asili yake, usiombe yakukute, niliwahi mkuta malaya mmoja Ana vu** Inchi 2, mbona nilisamehe Papu***[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ndio mwanamke sasa

We hujui raha ya ma**v*uzi nini?
 
Umeumia funga na kuomba asiwe malaya maana kama ni mpiga deal alaf anashave mara nyingi ni mshamba malaya huwa hanyoi hovyo kwani humsababisha yeye kuata STD's kirahis
 
mungu ni mkuɓwa sijawai kukutana na janga kama hili, sipendi aina yoyote ya nywele tofauti na kichwani wewe ni mchafu,

kweli mme mtarajiwa ujiandae kwangu usafi auna option
 
Inaweza ikawa ni usafi tu ndugu! Wengine hawapendi kufuga misitu. Alafu ukute mwanaume aliekua nae kabla alimwambia anapenda kipara. Si uongee nae!
 
Wanaume hamna jema jamani...akiwa na msitu basi mwanamke ni mchafu..akiwa na kipara basi mwanamke huyu Malaya ..mwatakajeeee?

Na wewe mwandishi kwanini hukumwambia mwanamke wako kuwa unayapenda hayo manyonya huko chini....chaaaa!
Hahaha ha ha
 
Ni usafi wake binafsi...
Mwenyewe natamani haya makitu yasingekuwepo...
 
Hvi kesho stock city atatoka salama pale old trafford?
 
hatari sana dogo anataka msitu wa Amazon......
 
Mimi kuna siku boyfriend wangu alikuja kwangu kwa kushtukiza akakuta nimenyoa ikawa ugomvi eti Nilikuwa naenda kwa mwanaume!
 
Kuna kaukweli katika hili ndugu yangu. Cha kufanya acha uasherati kisha tangaza ndoa hapo utakuwa salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…