Mwanamke jitambue

Mwanamke jitambue

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
562
Reaction score
850
,,,wanawake wa namna hii wanaume tutawagegeda mpaka basi
_Tamaa ya utajiri, fedha na mali nyingi pasipo kutambua
kuwa vitu hutafutwa

- Dharau, maringo, ukiwasogelea na kujaribu
kuzungumza na Anakumpandisha na kushusha kisha msonyo
-Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!

Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Casino yaani ukipita
nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa
yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani
atakupeleka kwao?

-Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa
kimakonde .
-Kupenda kujirahisisha kujipendekeza pendekeza kwa
wanaume, yani ukiguswa
kidogo kosa.

- Kupiga picha unatupia fb,,whatsapp ,insta
mapozi ya ajabu ajabu, mara
umebinua makalio samba soti, mara
tumbo, mdomo umeibana kama nguruwe, Haaaaa!hivi ni nani akuchukue

-Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano
kwenye Facebook account yako au Instagram na
nyinginezo hata ukienda haja
basi lazima upost" jamani nakojoa nakuja"

- Ni mtu wa maneno maneno yani we kuropoka ropoka
tu hauna break! mwanamke gani?
- Huna mawazo ya malengo endelevu yani we kwenye
bichwa lako kumejaa umbea tu
sijui leo Wema Sepetu jamani lulu,mara wolper kaiba khanga ya zari joketi kapigwa na kidoti mara shilole kapendeza

-Mizinga" Htc" mm siwezi nataka i phone " mara baby nimeona
nguo nzuri mara njaa inauma nataka mayai ya kuchemsha '' , Utasindikiza
harusi za wenzio utacheza kwaito kwenye harusi za wenzio mpaka vizigino vitakwisha na utakuja humu jf na thread zako "sina bahati"mara"wanaume wanyama " wakati wewe ndio wanyama unaliwa tu wanasepa dada shtuka wanaume wa usaw huu wa anko magu awapendi ujinga,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Nadhani kuliko kuendelea kuwashambulia wanawake kila siku ni jukumu lako kama mwanaume kuanza kubadilika binafsi imagine post yote ndefu namna hii ni kuwashambulia hao wanaoitwa wanawake ambao kwa mtazamo wangu ni mabinti katika makuzi
Kila kitu kinaenda na demand kulingana na mahitaji ya nyakati...nimeshuhudia mabinti wenye tabia za ajabu mno lakini baadae wakaolewa na kutulia kwenye ndoa zao
As a man you are the only one who can change your woman
 
Kaka mshana mazoea ujenga tabia ni wachache sana waku badilika labda kwa wale maisha mabovu pindi anapo olewa ndio utulia
 
Mapenzi ni Sanaa mwanaume kamili lazima awe na shahada kwe hili
Sikwaupande wa mwanaume pakee hata mwanamke na ndio maana nikasema wasipo shtuka na wala si kuwashambulia kwa usawa huu wa magu
 
Inabidi na nyie mbadilike sasa ili hao wadada waache kufanya hivo vituko mana yote hayo wanafanya kwaajili yenu.
Wakijibinua na kukaa uchi mnapenda na kuwaangalia wapitapo hivo kwa akili zao wanafanya yale mnayoyapenda kuyaona.
Ingelikuwa wakifanya hayo wanayoyafanya mnayapuuza na kuona ujinga hakika wangebadilika na kuacha ila kwakuwa ndio mnachokipenda wanajaribu kuwafurahisha.
Kama ni kubadilika tunatakiwa tubadilike wote ila ianze na nyie kupuuzia na ndipo wataacha mana haitakuwa na faida tena mana walengwa hawapendi hiyo huduma.
 
,,,wanawake wa namna hii wanaume tutawagegeda mpaka basi
_Tamaa ya utajiri, fedha na mali nyingi pasipo kutambua
kuwa vitu hutafutwa

- Dharau, maringo, ukiwasogelea na kujaribu
kuzungumza na Anakumpandisha na kushusha kisha msonyo
-Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!

Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Casino yaani ukipita
nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa
yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani
atakupeleka kwao?

-Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa
kimakonde .
-Kupenda kujirahisisha kujipendekeza pendekeza kwa
wanaume, yani ukiguswa
kidogo kosa.

- Kupiga picha unatupia fb,,whatsapp ,insta
mapozi ya ajabu ajabu, mara
umebinua makalio samba soti, mara
tumbo, mdomo umeibana kama nguruwe, Haaaaa!hivi ni nani akuchukue

-Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano
kwenye Facebook account yako au Instagram na
nyinginezo hata ukienda haja
basi lazima upost" jamani nakojoa nakuja"

- Ni mtu wa maneno maneno yani we kuropoka ropoka
tu hauna break! mwanamke gani?
- Huna mawazo ya malengo endelevu yani we kwenye
bichwa lako kumejaa umbea tu
sijui leo Wema Sepetu jamani lulu,mara wolper kaiba khanga ya zari joketi kapigwa na kidoti mara shilole kapendeza

-Mizinga" Htc" mm siwezi nataka i phone " mara baby nimeona
nguo nzuri mara njaa inauma nataka mayai ya kuchemsha '' , Utasindikiza
harusi za wenzio utacheza kwaito kwenye harusi za wenzio mpaka vizigino vitakwisha na utakuja humu jf na thread zako "sina bahati"mara"wanaume wanyama " wakati wewe ndio wanyama unaliwa tu wanasepa dada shtuka wanaume wa usaw huu wa anko magu awapendi ujinga,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Nalo ni neno jamaa...ifike mahal wanawake/wasichana tubadilike
 
Back
Top Bottom