DERICK2000
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 203
- 35
Wewe unamuonaje; ni kweli mbaya au hajiamini. Lol. Am just curious.
Maana message nilopata hapa ni kuwa kuna uwezekano wanawake wabaya wakawa ndo washirikina. teh teh
Wakati wengine wanasema waso na elimu ndio washirikina... Je ana elimu gani?
kama hujiamini hata ukikata kipande cha nyama ya K... yako uweke kwenye chai umpe boyfriend wako kamwe usitegemee utapendwa. huyo mwanamke anatakiwa ajiamini, ajitunze, awe msafi, mstaarabu, majibu ya staha sio ya dharau, nguo safi pamoja na chupi sio yenye matobo matobo , anyoe sehemu husika anunike kidogo kama marash hana basi hata udi? mijasho mijasho no, nampa wiki mbili lazima watu watamuita na kumtongoza na sio kujirahisisha ovyo awe kama sitaki na taka mapozi kidogo siku mbili tatu ndio akubali, asikimbile kuomba omba vihela sijafnye umeridhika, hapo utawang'oa wengi saana.
duh,kaz kweli kweli! ushirikina ni hulka ya mtu haijalishi mbaya ama mzuri. . . na dhana hyo husababishwa na kutojiamini. nliwah kuckia wanaume wanasema hawaoi wanawake wazuri kwan wana usumbufu sasa hyo mbaya mbona anakosa kujiamini while wanaume hawapend wanawake wazuri?
Wewe unamuonaje; ni kweli mbaya au hajiamini. Lol. Am just curious.
Maana message nilopata hapa ni kuwa kuna uwezekano wanawake wabaya wakawa ndo washirikina. teh teh
Wakati wengine wanasema waso na elimu ndio washirikina... Je ana elimu gani?
kama hujiamini hata ukikata kipande cha nyama ya K... yako uweke kwenye chai umpe boyfriend wako kamwe usitegemee utapendwa. huyo mwanamke anatakiwa ajiamini, ajitunze, awe msafi, mstaarabu, majibu ya staha sio ya dharau, nguo safi pamoja na chupi sio yenye matobo matobo , anyoe sehemu husika anunike kidogo kama marash hana basi hata udi? mijasho mijasho no, nampa wiki mbili lazima watu watamuita na kumtongoza na sio kujirahisisha ovyo awe kama sitaki na taka mapozi kidogo siku mbili tatu ndio akubali, asikimbile kuomba omba vihela sijafnye umeridhika, hapo utawang'oa wengi saana.
Ni Gf wa kaka yangu,juzi juzi kaka yangu kamkuta na hirizi kiunoni mwake..kumuuliza kwa nini anafanya yote yale,jibu alilompa ni kwamba anajiona c mzuri cna kama wanawake wa rafik wa kaka yangu,hivyo kuvaa hirizi ni kawaida kwake kabla hawajaenda kwa gesti.Sasa juzi akajisahau kuivulia nyumban kwake,amefanya vile ili kumlinda bf wake asimpende mwingine..Mbaya zaidi kaka yangu alimuacha siku ile ile ingawa alimpenda,but kutojiamin kama ulivyo,its dangerous.Jiaminini wadada,hata kama huna vitu nakshi vya kumvutia mwanaume,Yupo atakae kupenda kweli,yupo mumeo.Hakuna alieumbwa peke yake.Ni hayo tu kwa jumapili ya leo.
uyo wa hirizo amekamatwa tu, wako ambao wanachanjia, wapo wanaonijuiza etc ili ukigusa tu wanakufanya mlungule huwaachi ng'o hata ukiwafumania laivu....huyo wa hirizi naona alikuwa hajui vizuri wanavyofanya wenzie...mimi nilishawahi kuingia choo cha kike kipindi fulani, akaniendea kwa mganga kabisa, alafu akanidanganya kuwa nimemtia mimba akalia sana nimwonee huruma ili nitunze mima ile hela ya mimba awe anakula yeye na kununua fenicha...cha ajabu hakuwa na mimba kabisa, alikuwa na mimba feki, sasa nilishtuka kila nikikutana naye anataka gemu hata mara tano, na analazimisha mimi nijojoe ndani na mimi sitaki mimba yake....kumbe alikuwa alishaknywaga vidonge, sasa alipopenda kuzaa na mimi ikashindikana akawa anajaribu zali kwa mba tukifanya sana ndo mimba itaingia...hahaha, nilipokuja gundua, nilimfukuza kwa bastola...hadi leo hii akiniona mtaani anabadilisha njia tusikutane....wanawake wana siri sana, amini usiamini, usijemwamini mwanamke ambaye sio mkeo hata siku moja, hasa akijua kuwa umeshaona ndo kabisaaa atafanya njama za kukudanganya hadi akuchune..