Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,755
- 2,303
Habari Marafiki wa Jf poleni na majukumu ya kila siku,
Jana usiku bana mwenzenu nilipata kizungumkuti na Halimashauli yangu ya kichwa kuvurugika kabisa.
Ni baada ya kujituliza kwa muda kidogo baada ya kutokea kwa yaliyotekea kwa mpendwa wangu wa mwanzo. Hatimaye nimeangukia pua tena!
Iko hivi..... Miezi kama mitatu iliyopita nilikuwa nikimsotea binti mmoja mkali mno ukimuona kama we lijali lazima ushituke!
Tumeenda mpaka tukakubariana
kilichonifanya niandike hapa Jana jioni alini Promisi kwamba anakuja Home kwangu Nilimtumia nauli akaja kweli. Baada ya diner nikaanza mazoezi na mbwembwe kabla ya Mechi kuanza Nimepiga tizi kali vibaya mno nikiwa na furaha
Ajabu nikiwa kwenye harakati akaniambia yupo BLEED nilivocheki nikadhibisha kweli nikamuliza Kwanini umekuja ukiwa hivi na kwanini hujaniambia mi napiga jalamba uko kimya tu?
Akanijibu Hakihabiliki kitu kuwa huru kufanya lolote! Kauli hii ikanistua, Nikauliza tena Niwe huru kivipi na kufanya lolote lipi?
Akasema kama hautojali ntakupa mbadala akimanisha 071....! Nilichoka mzee akanywea nguvu zote zikaisha nikataka nimfukuze usiku ule ila basi nikona ngoja nilale tu!
Asubuhi nimeamka nikaenda kazini nimemuacha nyumbani bila hata sh. Kumi. Kazini leo sikuwa vizuri namwazia huyu ibilisi gani tena ananitafuta nini mimi jamani!
Narudi hom sasa Kutoka job nawaza nikampe tu nauli asepe Sijui kama ntakuwa nimekosea Nishaurini wana Jukwaa!