Mwanamke hupendelea kushikwa wapi ili asisimke kimapenzi

Mwanamke hupendelea kushikwa wapi ili asisimke kimapenzi

Mpe hela
Akija kwako ww mpe hela tu
Ukienda kwake wewe usichelewe mpe hela tu
Akikupigia simu wewe muongezee hela kwenye salio tu
Akisema anataka laki 1 wewe mpe laki 3 tu
Mpe hela wewe mpe hela tu

Ukifanya hivi ASIPOKUAMBIA Baby kweli unanifikisha kweli kweli njoo kwangu kushtaki na tutachanga MMU kukurudishia hela zako!

Mambo sijui nimshike wapi asisimkwe yazamani sana hayo Mpwa,atasisimkwa kiurahisi na bank statement yako akiiona!~
 
we tafuta money tu,mambo mengine kamuulize dem ako

  • :suspicious:
    • :baby:
      • 😛hoto:





  • :smile-big:
    • :israel:


 
Back
Top Bottom