Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Kwani sio jina kaka au jina la jini?Sasa mwanamke anaitwa Swaum unategemea awe na tabia gani?
Matatizo mengine mnayatengeneza wenyewe kisha mnaanza kubweka kama bweha wa jangwani.
Tozo ya kuomba namba😅 hio au mgeni karibu![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uliwahi kuona wapi mwanamke anaitwa Swaum ambaye si tegemezi?Kwani sio jina kaka au jina la jini?
Nafahamu hilo mkuuKama hauwezi kumuhandle tupe namba yake tumtumie miamala...Demu anahitaji matunzo mkuu!!
Mkuu hii ni tozo ya urafiki 😂😂😂Habari wakuu
Haya mambo ndio maana sitaki kabisa kujiweka karibu na mambo ya mahusiano na mwanamke kwa sasa maana ni full lawama kama mnadaiana vile[emoji34]View attachment 2048064
Ila kweli mkuu umenikumbushaUliwahi kuona wapi mwanamke anaitwa Swaum ambaye si tegemezi?
Angalieni na majina siyo mnabeba tu watu kisa wana matunduIla kweli mkuu umenikumbusha
Kuna rafiki yake na Ex wangu nae alikua anaitwa Swaumu
Yani hata ule uoga wa kwamba mimi ni shem hakakua nao hadi tulikorofishana kisa mizinga.
Tulipoanza tu mawasiliano baada ya kumuomba namba yake alinipiga mzinga wa kuongezea hela akanunue simu ya smartMkuu hii ni tozo ya urafiki [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3]Dah! afu mimi nna mikosiAngalieni na majina siyo mnabeba tu watu kisa wana matundu
Pole sana Singasinga unaonekana unachezea ligi za mchangani sana yani![emoji3]Dah! afu mimi nna mikosi
ndo nakutana nao sana mara mwajuma,mara swaumu
Ndio mitaa yetu hii mkuuPole sana Singasinga unaonekana unachezea ligi za mchangani sana yani!
Huko akina Swaumu, Sikitu, Kisa ni kawaida😂😂😂 hao lazma wakusumbue sana!Ndio mitaa yetu hii mkuu
Temeke mikoroshini[emoji3]