Mwanamke hataniwi

Hizo ndio namna za kumpata mwanamke lkn ukiwa serious kama unaomba kazi humpati
 
Endelea kujifariji, Ila jua mla huliwa....Sisi wanawake huwa tunapiga matukio ya kimya kimya, Kama unabisha kamuulize ex mume wa DC wa Bagamoyo.
Umemaliza kazi mpenzi, huyu boya anaropoka tu hajui kuwa nyie huwa si waropokaji, hajui kuwa mkewe naye anagegedwa na mjamaa huko kitaa 😀
 
Umemaliza kazi mpenzi, huyu boya anaropoka tu hajui kuwa nyie huwa si waropokaji, hajui kuwa mkewe naye anagegedwa na mjamaa huko kitaa [emoji3]
Mzee baba kwani mwanamke kugegedwa ni Jambo la kushangaa....? [emoji38][emoji38]

Mimi ninao waonea huruma ni nyie ambao hamgegedi mnajitunza na kuwatunzia hao wake zenu wasio gegedwa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kugegeda asiye mkeo ni dhambi ujue, achana na huo upumbavu kijana
 
Aisee umenikumbusha mbali sana
 
Achana naye ameshaanza kuona wivu.
 
Jamaa una majibu ya kukera mno. Home city ni wapi mkuu?
 
Mzee baba kwani mwanamke kugegedwa ni Jambo la kushangaa....? [emoji38][emoji38]

Mimi ninao waonea huruma ni nyie ambao hamgegedi mnajitunza na kuwatunzia hao wake zenu wasio gegedwa [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wame panic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…