Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,518
- 28,749
Fear this gender, hatari sanaNa asipotimiziwa vizinga vyake anaenda kumchanulia mapaja atakayemlipia vizinga kmmmk
Siku huyo tapeli unampiga chini utamsikia yote namwachia MunguFear this gender, hatari sana
Ndio wanawake wa siku hizi hao. Mungu alituumbia wawe wasaidizi wetu🤔.....kuna ukweli.
kupitia kuchanua miguu ndo kulisababisha wewe kuwepo.Siku ukimpiga chini utamsikia "hivi yote niliyokufanyia leo ndio unanitenda hivi?"
Hivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke
Wengi wao ndio hao kausha damu. Mimi ombaomba kwangu hajawahi kuwa na nafasiWewe kama demu wako anakupa mbunye kama zawadi ni wewe wengine tunanunuliwa vitu vikubwa notworth to mention be wise unapochagua mwanamke
Wa hivi mara nyingi mnakuwaga "Motivational speaker", kiuhalisia mwanamke hata akikununulia zawadi zawadi anategemea kitu baadae, ukitaka kuamini ufulie au ufukuzwe kazi ndo utashangaa hata zawadi zinafika mwisho. Wanaopewaga zawadi na mwanamke maisha yao yote ni watoto wa vigogo kama JK, Lowassa, etc ambao huwa hawaishiwi.., labda mwanaume azingue, huwezi sikia mke wa Ridhiwani au Freddy Lowassa kazingua kwasababu ana uhakika wa LIFETIME.Wewe kama demu wako anakupa mbunye kama zawadi ni wewe wengine tunanunuliwa vitu vikubwa notworth to mention be wise unapochagua mwanamke
Huwezi kumfananisha bimkubwa wangu na hawa makahaba wa miaka hiikupitia kuchanua miguu ndo kulisababisha wewe kuwepo.
vipi kwa aliyekuzaa wewe tukisema na yeye ni Malaya pia, je itakuwa ni sawa?
Hawapendi ukweli ukiwaambia ila tunakisanua hata wachukieNyuzi kama hizi hupiga nyuzi midomo ya mabinti wa humu
Ndio wengi walivyo mkuu, utabisha tu hapa ila ukweli ndio huoNi wewe tu umekosea kuchagua
Sikupingi mkuuWa hivi mara nyingi mnakuwaga "Motivational speaker", kiuhalisia mwanamke hata akikununulia zawadi zawadi anategemea kitu baadae, ukitaka kuamini ufulie au ufukuzwe kazi ndo utashangaa hata zawadi zinafika mwisho. Wanaopewaga zawadi na mwanamke maisha yao yote ni watoto wa vigogo kama JK, Lowassa, etc ambao huwa hawaishiwi.., labda mwanaume azingue, huwezi sikia mke wa Ridhiwani au Freddy Lowassa kazingua kwasababu ana uhakika wa LIFETIME.
Unafikirisha sana, ndio maana wahindi wakaona Bora wakitaka kuolewa wao ndio walipe Mahari SIO wanaume walipe MahariHivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke
Bro labda unasura mbaya sana/haujijari/hauna muonekano kama unasura mbaya sana na hauna muonekano basi jitahidi kujijari na kujibrand otherwise utagharamikia sana mbunye...katika maisha yangu mpaka sasaivi ni mtu mzima abv35 sijawahi kuhonga lakini mavitu niliyowahi kuhongwa na mapis yanaweza kujaa nyumba nzima..siri kubwa ni kujijari kimuonekano lakini pia usisahau mwanamke anapenda kupendwa na kusikilizwa ukiwin hivyo vitu mbona hutakaa kulalamikia wanawake. Pia sidate wanawake masikiniWa hivi mara nyingi mnakuwaga "Motivational speaker", kiuhalisia mwanamke hata akikununulia zawadi zawadi anategemea kitu baadae, ukitaka kuamini ufulie au ufukuzwe kazi ndo utashangaa hata zawadi zinafika mwisho. Wanaopewaga zawadi na mwanamke maisha yao yote ni watoto wa vigogo kama JK, Lowassa, etc ambao huwa hawaishiwi.., labda mwanaume azingue, huwezi sikia mke wa Ridhiwani au Freddy Lowassa kazingua kwasababu ana uhakika wa LIFETIME.
Hadi utapeliwe kwanza ndio utashtuka? Vilio hauvisikiiMkuu sema tu "mwanamke wangu hana mchango wowote kwenye mahusiano yetu".
Hasty generalization is a logical fallacy. Kwakuwa wakwako amekufanyia hivyo basi uki generalize kuwa wote ndio hufanya hivyo basi ujue unakosea sana.
Infact kuna wanaume ambao katika mahusiano wao wanachoweza ku offer ni sex tu. Hiyo ipo wazi, wenyewe wanajiita msingi kiuno, marioo.
Inategemea umekutana na mtu wa aina gani. Kuna wanaume vimeo na wanawake vichomi.
Lakini watu wazuri wapo pia. Stay calm usiwe na papara utamgundua mtu tu mapema.