Nimeuliza hivi kwasababu kuna dada mmoja anasema ana bikra lkn leo kasema anavuja sasa ndo najiuliza bikra nao huwa wana bleed kama siye wenye free hole?
Nina miaka 32 sijui wala sikumbuki bikra yangu ilitoka lini wala sijui kwann ilitoka
Swali langu ni hili:
Mwanamke bikra huwa ana bleed?
Naombeni jibu wataalum, na mods plz msifute uzi wangu
kumbe ashavunja na ungo tayari huyo anableed mwaya