Mwanamke apewa daraja la upadri

Kal Khan

Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
66
Reaction score
30
Wanajamii JF.
Mtanadao wa waharakati wanaopigania wanawake kupewa daraja la upadri, Umemtangaza mwanachama wake Lillian Lewis (75) kuwa Padre Mkatoliki.

Uamuzi huo ambao unauweka mtandao huo katika hatari ya kutengwa na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani (Vatican) umefanyika mwishonu mwa wiki baada ya mwanamke huyo kutangwaza kasisi wa kwanza nchi Marekani.
===============================


Chanzo: Mwananchi
 
Anaweza kupewa daraja hilo ila makao makuu vatican watakubali?wakatoliki wana process ndefu sana katika kubadilisha misingi yao mikubwa ya kiimani.Ni mpaka ukae mtaguso mkuu ambao hufanyika mara moja moja sana.
 
Huyo ni padre wa kanisa lao na siyo Kanisa Kotoliki. Mbona ni wengi tu wanaotoka kanisa katoliki wanaanzisha makanisa yao. Nawashauri waanzishe kanisa lao kwa nini wang'ang'anie kanisa katoliki? Kanisa katoliki litaendelea kusimama imara kama mlima Sayuni halitatikisika milele daima.
 
Na wapiganie hadi atokee sheik na Imam wa kike..na isiishie hapo wadai mungu awawekee pen.is kama kweli wako serious na usawa.

Wanawake akili zao finyu sana!
 
Dah ugalatia ni sarakasi tosha
 

[h=3]VILIO VYATAWALA MWILI WA MTOTO NASRA UKIWASILI MKOANI MORO[/h]

Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4)


Read more »
 
Hivi ile kashfa ya mapadre kuvingono vitoto vya kiume imeishia wapi? Tatizo la mapadri wengi ni ulevi wa kupindukia.
 
Anaweza kupewa daraja hilo ila makao makuu vatican watakubali?wakatoliki wana process ndefu sana katika kubadilisha misingi yao mikubwa ya kiimani.Ni mpaka ukae mtaguso mkuu ambao hufanyika mara moja moja sana.

kumbe sheria na misingi ya ukatoliki imewekwa na wanadamu na mnaibadilisha wenyewe tu mkitaka?

KARIBUNI KWENYE UISLAM DINI YA HAKI AMBAYO MWANADAMU HANA NAFASI YA KUBADILISHA SHERIA YA MWENYEZIMUNGU KAMA MNAVYOFANYA NYIE.

DINI YA HAKIKA NI ILE ILIYO BAKI KATIKA UHALISI WAKE BILA MWANADAMU KUICHEZEA ATAKAVYO
 
Hahahaaaaaa!eti padre,huo upadre kapewa na askofu yupi,gani,nani?wanahangaika,wote hao wapinga kristo,katoliki tupo na tutaendelea kuwepo
 
Mwanamke kuwa kasisi sio issue kwani kanisa katoliki ni mojawapo ya taasisi za kidini zinazomheshimu mwanamke. Mfano kuna makatekista wa kike ambao husimama altareni na kuongoza ibada bila padri, abapo kwenye baadhi ya dini mwanamke kukanyaga tu kwenye mimbari ni kharam, masista wana nafasi mbalimbali katika ibada za kikatoliki, wanawake na wanaume hawajatenganishwa kwenye nyumba za ibada.

Kama vatikani itaona ni vyema wanawake wawe maparde itatoa taratibu za kufuata na kanisa huwa haliendeshwi na wanaharakati lina taratibu zake, kama huyo wamemtangaza atakuwa wa kimagumashi Roma locūta, causa finīta
 
Hawa wanapoteza mda wao bure.

mbona wanaleta ubaguzi kwa wanawake? kwani kinachomfanya mwanamke asiwe padri ni nn? ingekuwa waislam mngesema wanakandamiza wanawake
 

ANDIKO LINASEMA

1 timothy 11

Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.-
12-Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.-
13-Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.-

Yesu anasema MWANAMKE AKAE KIMYA!
HAKUNA RUKSA KUFUNDISHA.

Hapa Yesu anaendelea kumwambia MWANAMKE.

1 Wakolosai 14:34 -35

Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.-
35-Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.-

Enyi wanawake wa KIKRISTO!
FUNGENI MIDOMO YENU, Bwana YESU KASEMA!

Sasa kwa Mujibu wa ANDIKO huyo.mwanamke ni HARAMU TUPU.
Matola
 
Last edited by a moderator:

Naam


Swadakta kabisa.
 

Shukran sana.

Sasa Mkuu lini utanioza bint yako Matola nimpatie dawa ya minyoo?

:A S 13:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…