Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nadhani umemaliza madamHicho unachompendea ndiyo wenzako watampendea hicho hicho, hakuna ujanja ni kuoa mwanamke anae jielewa na ambae amekubali hali yako.
unaakili sana wewe mwanamke sijui nikupate wapi nikununulie soda tu Sky Eclat ππHicho unachompendea ndiyo wenzako watampendea hicho hicho, hakuna ujanja ni kuoa mwanamke anae jielewa na ambae amekubali hali yako.
Hicho unachompendea ndiyo wenzako watampendea hicho hicho, hakuna ujanja ni kuoa mwanamke anae jielewa na ambae amekubali hali yako.
Asante mkuu.
Mmhhhhhh acha kujisumbua .Ukitaka kuoa inabidi mwanamke huyo asiwe mzuri kwa kila mtu maana hapa ndio presha inapoanzia,chukua wale mademu like Ebitoke utaishi bila presha[emoji23]
Asante mkuu.