Urembo/ umbo la kupendeza sio vigezo vya muhimu kwenye kutafuta mwenza....Omba upate mwanamke aliye na uzuri wa ndani sio huo wa nje, na hivi una watoto 3 tayari ni changamoto kupata mwanamke atakayewalea kama wanae....ila kama unataka mwanamke wa show off sawa!!!