Kwa nini mnakatisha watu tamaa? Kwani walio huko mitaani hawatumii mitandao? Au wewe unaishi wapi mwenzetu kama sio mtaani? 43 ni mtu mzima na anajua nini anafanya, atleast mtakie kila la heri tu inatosha kha!
Nilitumia jf kama mgeni kwa muda mrefu, nilikuwa naziona post za namna hii nikajua kuna mafanikio humu, baadae nikajiunga My first post baada ya kujiungilikuwa kama hii, nilichati nao sana ila hakupatikana mkweli wala aliye silias, wote wazugaji tu, wengine wapiga dili! hapa hapatoshi kueleza yote kama vipi weka namba yako ya airtel nikupe full stori