Mwambie kwanza akupe muda umfikirie.
Alaf pili mwambie unaogopa kuchezewa na kuachwa
Tatu mwambie unaogopa kuharibiwa masomo yako
Alaf nne acha story za kusadikika
Sent using GunTrigger
Mkuu hujawahi kutana na wanawake wa aina hii naona, ngoja ipo siku moja utakuja kuleta ushuhuda hapa binafsi haya mambo yamenikuta sana haya.Mwambie kwanza akupe muda umfikirie.
Alaf pili mwambie unaogopa kuchezewa na kuachwa
Tatu mwambie unaogopa kuharibiwa masomo yako
Alaf nne acha story za kusadikika
Sent using GunTrigger
Au sioMkuu hujawahi kutana na wanawake wa aina hii naona, ngoja ipo siku moja utakuja kuleta ushuhuda hapa binafsi haya mambo yamenikuta sana haya.
Sawa mkuuHakuna ubaya wowote mapenzi ni hisia sa yeye kukueleza hisia zake kwako kuna ubaya gani mkuu.
Cha msingi na wewe pima kama anakufaa kubali kama hakufai basi mwambie pia.
Mimi nimeshakutana nazo sana ila story za huyu jamaa ni za kusadikika halafu bado ni kachalii tuMkuu hujawahi kutana na wanawake wa aina hii naona, ngoja ipo siku moja utakuja kuleta ushuhuda hapa binafsi haya mambo yamenikuta sana haya.
Kiukweli baada ya maongezi yale ilinibid nimuombe anionyesha kitanda kilipo nipumzike kwanza kidogo kabla ya kuondoka maana maneno yale yalinichosha akili na mwili kwa ujumla.
hahahahhaaa....Asije mchezea jamaa bhana aka mpotezea muda sio mkuu?Mwambie kwanza akupe muda umfikirie.
Alaf pili mwambie unaogopa kuchezewa na kuachwa
Tatu mwambie unaogopa kuharibiwa masomo yako
Alaf nne acha story za kusadikika
Sent using GunTrigger