Mwanamke anapenda mara 2-3 tu basi

Mwanamke anapenda mara 2-3 tu basi

wanawake wengine sisiem imewaharibu tuu ,ngoja uone kizazi hiki cha ukawa full understanding
 
Hiyo evolution ni kiboko ....japo wanyama wanatofautiana aisee Thomson Gazzelle huwezi mfananisha na Nyumbu ....Nyumbu ni nyumbu tu ,hushangai kitoto kinazaliwa baada ya nusu saa anamshinda mama yake speed ??
Hahhahhahahahaa!
 
Mkuu fafanua please

Kuna wengine hawaitaji kupitia hizo stage tatu kua injured animals ..wanazaliwa hivyo tu ,ndio maana nkakuambia hushangai mtoto Wa nyumbu anazaliwa sasa hivi baada ya nusu saa anampita mama yake kwa speed Kama mkuu unataka nikupe mfano kwa makabila siwezi
 
wengine wanachanganyikiWa Wenyewe tokea udogo wao..

Kuna Siku nilikutaka na katoto Kadogo sana, Kale katoto kalizoea Kuja mzigoni kwangu kama kateja Kakutumwa na Shangazi yake.

Siku kameenda ofisini kamenikosa si kakanipigia simu nikakambia nipo home. Kakaomba nikaelekeze ili kaje... Nikafanya Hivyo....

Nilichokuja kufanyiwa sitakisahau. Na ukubwa Wangu Wote niliutafuta mpira kwa tochi tena huku nikifundishwa mara fanya hivi mara vile. Kwahiyo Mkuu Mwekundu Nadhania bado hujakamilisha huu itafiti
 
Maelezo marefu ila yako mbali sana na ukweli
 
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
 
Siku hizi kuna matolea mengi ya wanawake ambayo huchangiwa na mazingira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom