mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
Mwanaume wa kwanza kwake chance huongezeka ya kumpata kama kukiwa na ukaribu au anamfahamu sana,hapa akiwa king'ang'anizi na kukomaa unaweza ukamvua pichu na ukamuonyesha dira hapo sasa mwanamke ata fall in love na usichana wake unakua umeenda na mafuriko ya UKAWA, kuna possibility kubwa akaona mwanaume huyu yuko alone dunia nzima.!
Kuna zaidi ya 100% mwanaume ndo atasababisha kuachana na msichana huyu what next msichana wa watu atakua very heart broken ,kwa sababu CD yake ilikua inajazwa softwares za mapenzi na mjazaji mwenye kaingiza virus.
Utapita muda mrefu sana kabla hajaingia kwenye uhusiano mwingine lakini uoga wa kuumizwa ndo unaosababisha ,kama kawaida wazee wa Ku program(mwanaume) ambaye atakua "mvumilivu" kumfukuzia anaweza kumpata huyu ,then ataanza taratibu kwa kujikokota Ku fall in love baadae atazama na kuanza kusahau maumivu ya mwanzo kama kawaida True relationship baada ya kugegedana haizidi 4 months ,kitakachofuata ni majuto na ataumia sana na kuanza kujenga ile falsafa "All men are the same."
Itamchukua muda tena atafanya attempt ya mwisho muda huu kumbuka memory ya mwanamke inakua na virus za kutosha ,relationship ya 3 anakua jasiri hata anaweza kuivunja mwenyewe mwanamke ukuzingatia "wanaume wote ni sawa"
Baada ya hizo 3 tayari anakua ameshamaliza mafunzo ya depo la mapenzi na tayari anakua " injured animal" yaani ni very dangerous ,anaogopeka hapa ndo styles za kuchunamabuzi,commercialised prostution, revenge za kuumiza naye zinapotokea ,hapa ndo muda wa kulipisha watu kodi za nyumba,kuchukua wanaume wa watu, mbaya zaidi anakua yuko tayari hata Ku cheat akishaolewa
Hapo juu pia ndio zao la ombwe la "KUCHEPUKA" hata baada ya kuolewa kwa sababu anakua mapenzi ameya grade kuwa HAYANA THAMANI KWA UPANDE WA WANAUME therefore kuvunjika kwa ndoa nyingi siku hizi
Conclusion: Wanaume wanawake tunawaharibu wenyewe kuanzia mwanzo ,unayemuharibu Leo ndo mke wa mwenzio kesho.
Analysis hii ni kwa hisani ya Mwekundu wa JF mimi mwenyewe.