Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Mi sijaconcludeNa mnapenda sana hawa vijana wadogo [emoji3]
🤣🤣🤣we jamaa weweWatoto wanapenda mapenzi hata Condom haziwatoshi - Bonta Maarifa.
Kaa kwa passwordmwanamke wa kiiraq
Uliona wapi ukimpa mimba mwanamke analea mwenyewe....... RUNHabari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia[emoji16]
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Daah af ananitaka kwa lazima yey kasema anataka shaha..... tuUliona wapi ukimpa mimba mwanamke analea mwenyewe....... RUN
Hakuna kitu ka hiko usijaribu usithubutuDaah af ananitaka kwa lazima yey kasema anataka shaha..... tu
Money talks [emoji849]dogo acha kutuibia hapa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 Tuvulana bhana
Aisee..dogo acha kutuibia hapa
Dah! Ukiwa mtoto raha sana! 😁😁 Yaani muda wote unawaza mambo ya raha raha tu. Ila ukikua sasa kama sisi baba zako, ndipo chamoto utakiona.Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
yaani mtu amekusalimu tu anakwambia umzalie mtoto, nawe unakosa ujasiri wa kumkatalia uso kwa uso....watotowa kiume wa miaka hii mna matatizo gani? Homons zenu ziko sawa?Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Huyo mwanamke anawezaje ku take risk ya kuzaa na mwanaume hasiyejitambua ?Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia[emoji16]
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
HayiboooHuyu si mgeni humu. Hii ni
View attachment 2277012