Mkuuuu sina cha kushauri nimeishia kucheka tu [emoji16] [emoji16]Kuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa
Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi
Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.
Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda
muosha rungu
Nishauri mkuu am seriousMkuuuu sina cha kushauri nimeishia kucheka tu [emoji16] [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna fala mmoja hapo amemwingizia pesa kwa M-pesa,Nishauri mkuu am serious
muosha rungu
Una mpango wa kumuoa au mnasogeza tu siku ?Mimi ndo nilimtoa kwao ingawa hapahapa mjini baada ya kugombana na dadake
muosha rungu
Du aisee ngoja niachane nae tuKuna fala mmoja hapo amemwingizia pesa kwa M-pesa,
Alafu huyo huyo aliyemsaidia huenda ndo yule unayemshuku,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kashinda 3 mzukaDu aisee ngoja niachane nae tu
muosha rungu
Baada ya kugombana tena na mpenzi wake, kuna mtu pia kamtoa alipokuwa anaishi..... Kwahiyo hizo ni mbio za vijitiMimi ndo nilimtoa kwao ingawa hapahapa mjini baada ya kugombana na dadake
muosha rungu
Yuko pale pale ila kodi kalipa na ilihali hana kaziBaada ya kugombana tena na mpenzi wake, kuna mtu pia kamtoa alipokuwa anaishi..... Kwahiyo hizo ni mbio za vijiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu ndo yule wa humu jf?Mmmh! Hata haifuatilii
muosha rungu