Mwanamke anahitajika...

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
Wakuu salama?!
Mimi ni mwanaume mwenye umri kati ya miaka 35 na 40. Nimeajiriwa nina kipato cha kuhudumia watoto wangu na mimi mwnyw na kula bata kiasi!! Nahitaji mwanamke ambae hayuko tayari kuzaa(umri chini ya 40) anaweza kuwa single maza,mgumba, aliyeachana na mwenza n.k. Awe na maisha yake na kipato chake yaani sio tegemezi. Lengo kubwa ni kupeana kampani ktk maisha, tunaweza kusaidiana hapa na pale litakapotokea tatizo. Awe tayari kupima UKIMWI.
N.B: Kama ni mdangaji pita mbali coz siwezi tatua shida zako za kifedha.
Mimi ni moja kati ya wanaume ambao hawajawahi na siwezi kununua papuchi(kununua malaya n.k).
Nipo Dom na mtarajiwa akiwa dom itapendeza zaidi!
Interested, karibu PM kwa maelezo zaidi.
 
hata kuandika huku ni sawa na kununua malaya
Malaya ni mwanamke anayejiuza, akiacha kujiuza anakuwa sio malaya tena! Kama umenielewa ni kwamba sitaki mwanamke wa kuniuzia papuchi yaani baada ya tendo nampa hela, hop umenielewa mtu mzma!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom