Mwanamke aliyetayari kuolewa

Mwanamke aliyetayari kuolewa

Maskini ujana ulikula na nani?
14727612_206723086425174_7234628717962592256_n.jpg
 
Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Nipo tayari .
 
Wacha Uongo wewe si ulishaachika Morogoro na ukamlaani mtalaka wako mkubali tu mwendeleze libeneke la kuamka wote asubuhi same room same bed.
ukuachika huolewi tena!??
Wacha Uongo wewe si ulishaachika Morogoro na ukamlaani mtalaka wako mkubali tu mwendeleze libeneke la kuamka wote asubuhi same room same bed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom