Mwanaume anajiwezesha kwa kulipa mahari...Hahahahhaah shemeji langu hiloooo ........duhhh na mwanaume asipowezesha atampa nani mimba???????
Siku hizi mahari tunawalipia....Mwanaume anajiwezesha kwa kulipa mahari...
Afu shem nasikia juzi ulinigeuka..... sio vizuri hivo...
Au ulikuwa unaogopa ntakupumulia kisogoni? Shem kumbe mwoga hivyo?Siku hizi mahari tunawalipia....
Shem sijakugeuka bana nilikuwa nachangamsha wadau tu........
Hahahhahaha siogopi bana shemeji, mtu tena na shemeji yake wala hakuna tabu......Au ulikuwa unaogopa ntakupumulia kisogoni? Shem kumbe mwoga hivyo?
Inabidi hiyo dhana tuachane nayo,tuone tunaweza kufanya mambo kwa uhuru na utashi sahihi
mwanamke hashindwi kitu, hata bila kuwezeshwa mwanamke anaweza. waangalieni wanavyoteseka kwa malezi ya watoto huku wakiwa wametopea kwenye dimbwi la umasikini tena wakiwa hawana wanaume. Ukiliangalia hilo tu nikubwa kuliko haya mengine tunayoongelea. ni wangapi wamelelewa na mwanamke katika mazingira magumu tena bila msaada wa baba na ndugu...mbona alisimama mpaka ww ukakua na kusoma? Hilo tu linaweza kutupa majibu ya Swali lako mpendwa valentineUmenena vema kabisa bibie natamani wote wenye mawazo hasi wabadili fikra zao....
Dah.. Nina wasiwasi mtanielewa tofauti bana..Sema neno kabla hujatokomea tafadhali
Dah.. Na hili hasa ndiyo jambo kuu kwa mwanamke.. Ameumbwa kwa ajili hiimwanamke hashindwi kitu, hata bila kuwezeshwa mwanamke anaweza. waangalieni wanavyoteseka kwa malezi ya watoto huku wakiwa wametopea kwenye dimbwi la umasikini tena wakiwa hawana wanaume. Ukiliangalia hilo tu nikubwa kuliko haya mengine tunayoongelea. ni wangapi wamelelewa na mwanamke katika mazingira magumu tena bila msaada wa baba na ndugu...mbona alisimama mpaka ww ukakua na kusoma? Hilo tu linaweza kutupa majibu ya Swali lako mpendwa valentine
MhmmmDah..🙂
Kweli reinaMimi naona ni kauli mbiu ambayo ni tata. Hao walioitunga ndio wenye majibu kamili ya nini walikusudia au kumaanisha.
Ingawa umemwuliza mwingine, ngoja mimi nikujibu, 'NDIYO'. Nimefuatilia mjadala, wachangiaji wengi ambao ni akina mama, wameeleza vizuri tu, kumuwezesha mama sio kumjaza mapesa mifukoni bali ni kuweka mazingira rafiki na wezeshi ili mwanamke atumie fursa zilizopo. Katika maisha ya kila siku mazingira wezeshi hata yakiwekwa yanawanufaisha wanawake wa hali za juu (high class) na si akina mama wa wakawaida. Hata hivyo, ingawa akina mama wa hali za chini hawanufaiki moja kwa moja na mazingira wezeshi wanayopewa wanawake bado akina mama hao kwa ubunifu wao, uthubutu na bidii zao binafsi bila kutoka kwa wanaume wameweza kumudu maisha kwa kiwango chao na kutunza familia akiwemo baba mweneyewe. Utaona kuna biashara za kufunga maji na kuuza, kupika maandazi, mamalishe,kilimo cha mboga mboga, ufugaji kuku, kupika pombe za kienyeji n.k. Niseme tunapojadili akina mama kuweza si lazima wawe ni wale wa level ya juu, tukumbuke waliopo pia level ya chini ambao ndio wengi.Unakubali kwamba wanawake tunaweza hata pasipo ninyi?