Mwanamke akishapoteza usichana wake hana tena thamani ya kuchagua wanaume

Yani sisi wanaume bwana kila mtu anataka bikra ila sisi ni malaya mbwa hapo
Ulipo ushalala na wanawake hata 10 tofauti ila unataka bikra hahaha
Amelala na wanawake 10 lkn hajabahatika kupata bikra hata moja, Kuna tatizo akiendelea kutafuta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom