jamaa sijui anamwinda nan hapa jfKwani wadada wanapatika JF tu???
iyo nishawahi kuishudia jamaa choka alichukua mbonge la toto la kishua .....kesho yake mbona demu alimind kinomaet iwe mwanzo na mwiso kujuana......lakii hii hata wanaume tena pombe za kishenzi sana huwa zinakimbilia magogoni fasta.....sijui kuna uhusiano gani wa pombe na na naniluuu eti [MENTION]watu8[MENTION]mtambuzi[/MENTION][MENTION]Arushaone[MENTION]nitonye[MENTION]lara 1[MENTION]Erickb52[/MENTION] marejesho[/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION]
Mwanamke yeyote akishakunywa pombe akiwa na mwanaume uwezo wake wa kumkatalia huyo mwanaume kwenda kumpiga dushelele unakua mdogo sana.....anakua rahisi sana kudanganywa......na huwa wanajuta sana kesho yake baada ya kujikuta yuko kitandani na jamaa ambaye hakuwa na mpango wa kumpa K.
Kama kuna demu anayebisha ajaribu ku M-PM mwanaume yeyote hapa JF , ata ikiwamimi..weekend hii nikakupe kinywaji alafu urudi hapa utoe ushuda baada ya pombe nini kilifuatia au kesho yake asubui ulijikuta wapi.
Wadada msiniangushe jamani.. nisaidieni nimalizie hiii reserch yangu.
jamaa sijui anamwinda nan hapa jf
huh! try me........
utakuta paloma mwenyeji wa kaskazini ...mabinti wa pande zile anaweza kunywa hata kreti ya safari bado yuko mkavu kuna jamaa yangu ashawahi kuiabika....kachukua demu amzime mwisho wa siku kazime yeye .....mtoto yuko ngangari jamaa ndiyo anakokotwammh!! kirahisi tu hivyo
huh! try me........
mkuu research yako hii kali, ila ina ka ukweli ...nakushauri wawezeshe wakinadada maana hizi tarehe ngumu ukizingatia watu wamemaliza kula happy siku si nyingi.
Utafiti wako ni wa uongo.