Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 807
Kama hutaki kuelekezwa ulifauluje shule?Sipendi na wala sitaki na ndio maana najikuta siwezi kuwa kwenye mahusiano yakadumu.na wala siumii
Hii bonge la jibu au na wew atakuacha😄Inavyoelekea kwasasa wewe shida yako sio mahusiano, tafuta kwanza vitu vyengine ambavyo unaamini ndio furaha yako ukivipata ndio utaona umuhimu wa mahusiano alafu wewe ndio utakua bingwa wa kulalamika na utawaelewa kwnini walikua wanakulalamikia
Asante Kwa ushauri ntakufanyia kaziInavyoelekea kwasasa wewe shida yako sio mahusiano, tafuta kwanza vitu vyengine ambavyo unaamini ndio furaha yako ukivipata ndio utaona umuhimu wa mahusiano alafu wewe ndio utakua bingwa wa kulalamika na utawaelewa kwnini walikua wanakulalamikia
Niache nini Mkuu.Acha tu....umri si unakuruhusu?????
Sijawahi kuumia nikiachwa .Hii bonge la jibu au na wew atakuacha[emoji1]
Muache na yeye naona anakupigia makelele 😄Asante Kwa ushauri ntakufanyia kazi
Wewe unataka ule kimasihara tu?Habari wakuu.
Sijajua changamoto iko wapi? Mwanamke akianza kulalamika kuhusu mahusiano baina yangu na yeye hapo ndipo unakuwa mwisho wake. Siwezi kuvumilia malalamiko wala aina yoyote ya makelele.
Sijajua lini nitabadilika wakuu.
Nashindwa kuwa kwenye seriously Relationship.
Ukioa utabadirikaHabari wakuu.
Sijajua changamoto iko wapi? Mwanamke akianza kulalamika kuhusu mahusiano baina yangu na yeye hapo ndipo unakuwa mwisho wake. Siwezi kuvumilia malalamiko wala aina yoyote ya makelele.
Sijajua lini nitabadilika wakuu.
Nashindwa kuwa kwenye seriously Relationship.
Mi sipendi mtu aniambie "nalalamika" wakati minaona niko kawaid,au namuuliza tu vitu vya kawaidaIla hata mimi sipendi mtu anilalamikie mara siku hizi umebadilika, mara haunipendi kama zamani mara siku hizi nini, mara sijui nini na hapo unakuta mimi naona nipo sawa sijabadilika.