Utaumia house girl wako kufanya hayo ?Vp kama akilala na kaka yako mtoto wa bamkubwa wako utafanyaje hapo hebu nisaidie hili ndug!
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mbona ni mali kwa mali ndg. Watoto wa baba mkubwa na mdogo hiyo ni mukide tuu. Mbona hii kitu ya kurithi na kula mali ya kaka ilikuwepo tu tangu kitambo sema magonjwa ndiyo shidaVp kama akilala na kaka yako mtoto wa bamkubwa wako utafanyaje hapo hebu nisaidie hili ndug!
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Jamaa anaogopa watoto wa Babaake Mkubwa,kuna walichomtenda hahahaMbona ni mali kwa mali ndg. Watoto wa baba mkubwa na mdogo hiyo ni mukide tuu. Mbona hii kitu ya kurithi na kula mali ya kaka ilikuwepo tu tangu kitambo sema magonjwa ndiyo shida
Hakikisha huli chakula alichopikaDahl! Inakuwa changamoto sana kuishi nalo hili maana hiyo safari haitakuwa na amani ndani ya nyumba binafs lakini.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
...Housegirl feki wa kutoa maelekezo kwa housegirl wa kweli, hapo sawa...Kutakuwa na two House girls
Wa kutwa na wa usiku
Unachomaanisha kilikuwepo kwa utaratibu na cyo kwa jamii yote, alaf pia mila haina nafasi kubwa kuliko Imani ya kiroho ya Mungu ndo maana tukirudi kwenye vitabu vinatueleza vema kabisa.Hujakerwa wewe mkuu...
Kuna familia ya jamaa yangu wa karibu sana imewahi kutokea nikashirikishwa mawazo ili kutafta namna ya kutatua hiyo changamoto.Jamaa anaogopa watoto wa Babaake Mkubwa,kuna walichomtenda hahaha