Wakuu namtafuta mwimbaji na mcheza ngoma za kienyeji maarufu miaka ya 1980 na 2990 aitwaye MWANAMITUMBA. Mara ya mwisho nilisikia yupo kijiji kimoja jina limenitoka huko BUKENE Tabora.
Mwenye taarifa naye naomba anipe.
Asanteni sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app