Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 271
Issue mkuu siyo hiyo.Kumjua hata sisi tunamjua fika,,na kumjua is not a big deal au achievement to brag about.Issue ni kuwa je leo akikamatwa kwa utapeli au any wrong doing akishtakiwa ataitwaje?Its so obvious kuwa itakuwa ni Fauzia Jamal anashtakiwa maana ndivyo anavyojulikana na hawataenda kwenye historia kuulizia hayo yote unayoyaleta hapa.Tuchukulie kwa mfano angekuwa mwanamke wa mfano wa kuigwa na tukawa tunamsifia hapa kwenye forum, bado ungeleta argument hapa kuwa huyo mnayemsifia haitwi Fauzia bali alizaliwa na Francis akaitwa Flora?
Tuache unafiki na tuangalie issues na material facts na tuache non-issues!
Suala hapa ni mwanamke anayeitwa Fauzia Jamal anavyotesa wenzake kwa vitendo viovu period!
Sawa kaka endeleya na hoja, niliona niweke sawa tu kwamba ajili gani anahudhuria pale kwa mama mbunge. pia isijekuwa jina ni njia ya kujifichia kwenye utapeli.
huyu mama ni tapeli wa miaka mingu mno, nashangaa mpaka sasa hajaacha. Ana majumba mengi hapa mjini, nusu yake kapata kwa utapeli na dhuluma, kukamatwa sio rahisi maana kama alivyosemwa ana mtandao mzuri tu kwa wakubwa. miaka ya zamani alikua anachukulia na katibu / mwenyekiti wa chama kinachohusiana na wafanyibiashara wa kusini mwa Africa Tz ikiwa mojawapo, baba wa kipare (namhifadhi huyu), aliyekua kiwembe sana wa miaka hiyo, nadhani hata sasa, mtu mzima lakini vitoto vya miaka 25 kwenda chini ndio vyake.WADAU EEHHH!!!!
Nimezidi kuzipata kuhusu huyo mama TAPELI hapo jijini Dar es Salaam.
Ni chotara wa Kichaga(Machame) na Mwarabu,
Anaishi nyumba ya kupanga ila anamiliki nyumba kibao,
anatembelea gari dogo nadhani ni Rav4 silver, wakati mwingine Lexus ya cream, na mara moja moja ameonekana na Range Rover nyekundu,
Ni mwongeaji sana,
Haishi na mumewe, yupo alone alone,
Mara nyingi anaonekana Barclays Bank Ohio sijui ni Bank au anaofisi pale.
Please mwenye details zaidi kuhusu huyo mwanamama atujulishe.
Hatupendi kabisa kusoma, W.O.S umem-tight sana M.Q ona sasa...
Mwenye picha ya huyu mama(Fauzia) aimwage hapa janvini please.
Hilo li mama linaitwa mama D,ni mbaya amekaa kama kichuguu ki Shape!, kuna tetesi ya kuwa kautafuna mtaji wa mama mmoja alikuwa na duka lake la kukodisha mikanda ya filamu maeneo jirani na shoppers,yule mama kavunja kiduka chake mpaka leo eneo linakuwa chaka.
Unachosema naweza kukubaliana nawe..ila hufanya hiyo "biashara yake ya nyumba" kama agent na nilipokutana naye kwa mara ya kwanza ilikuwa kwa misingi hiyo..bahati nzuri sikuchukua nyumba kwake.
Ni kweli kuwa amewaingiza watu wengi kwenye matatizo hata mpaka ya kiuhamiaji.Ni vizuri kuendelea kupata data ili kuepukana na madhila.
Ni mwanamke anayeweza kumfikisha mtu pabaya sana!
Ila huyo anayesema ana miaka sabini ameniacha mdomo wazi maana kama ni kweli nadhani ni muujiza! ila hiyo si issue hapa.
yes mama...
anafahamika na wengi, ameliza wengi ila she is well connected! Ingewezekana kuweka visa vyake hapa, nadhani tungeshangaa ni kwanini vyombo vya dola vinashindwa kumbana.Maadam hata mafisadi waliokuwa wanaogopewa sasa wameweza kulala rumande basi huenda hata watu kama hawa wakaanza kushughulikiwa.
anatuaibisha huyu, wanawake na maendeleo lakini hatuendi hivyo bana. Tunatafuta kwa jasho na kuridhika sio tamaa ya utajiri. After all hapa duniani ni pa kupita tu, hata ukiwa na mali kiasi gani zote zinabaki hapahapa.
Zimekaa kiutamu utamu......stori za kwenye kahawa mnazileta JF,wakenya wakiwaita mbumbumbu mnakuja juu.Nani kati yenu Mama na Womenofsubstanc katapeliwa na Huyu mwanamke?Ama kweli usawa wa kijinsia! Anatia aibu.. na wako wengi hawa kwa sasa hivi....
Zimekaa kiutamu utamu......stori za kwenye kahawa mnazileta JF,wakenya wakiwaita mbumbumbu mnakuja juu.Nani kati yenu Mama na Womenofsubstanc katapeliwa na Huyu mwanamke?
Msitake kuifanya JF kuwa kituo cha kudiscuss watu kiutamu utamu.
Tafadhali mwana eeh, huyo kawakosea nini, au ndiyo nuru ya mdomo asipomtajwa siku haiishi? Si umeshambiwa hapo kuwa ni Fauzia Mahmud.
Dah, sasa balaa hili.
Vipi ndugu Isambe, mimi nimeingiaingiaje hapa; naapa simjui mtu huyo kabisa.
ohooo alikuwa hajaona Uzi humuDah huyu mama ni balaa,
Kweli JF ni noma,sikujua kuwa details zake zipo humu.yaani kamdhulum ndugu yangu hiv hiv. Alot of money......yaani
Duuuh noooomaa asee