Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Hautakuwa uroda tena!huyu mama anatisha kani jinsi alivyofuzu kwenye degree ya utapeli. ni kwamba alishamliza muheshimiwa chenge wakati akiwa mwanasheria mkuu wa serekali. walikua wanagombea nyumaba moja hapa jijini chhege aliweka mawakili hadi mahakama ya rufaa lakini jimama liliwahonga fedha na uroda juu mawakiliwote na hatime kushida kesi. NB; kwa habari za kuaminika huyu jimama ana miaka 70.
Hautakuwa uroda tena!
hapa unamfahamuduh mshkaji mpendeka, umenikumbusha machugu ya huyo mama.
Namfahamu kiasi kutokana na utapeli/ulaghai wake.
Anaitwa fauzia jamal mohamed, anamiliki kampuni kibao ikiwepo moja inaitwa ebony, sifahamu makao yake makuu.
Ebwanaeee..!!!! Huyu mama ukikutana nae anga zake na ukiwa katika nafasi yenye maslahi yake anakugeuza kama mwanae mradi tu afanikishe lengo lake. Hivi juzi juzi nilikutana nae moshi mjini sijui kama hajamliza mtu huko maana namwogopa sana. Kwa kufoji nyaraka ni mtaalam, kwa kuhonga wanaohusika ni mwenyewe, kwa kupenda kesi ndo usiseme.
Sijui anategemea nini hapa duniani.
Nimeshtushwa zaidi kusikia ni muumini wa kanisa maarufu la kilikole la mh/dkt/mchungaji lwakatare hapo mikocheni dar es salaam.
Duh watu wawe makini nae kweli
mjasiriamali shupavu unanikuna sawasawa,
kumbe unazoinfor za ndani kiasi hicho kuhusu huyo mama?????
Wewe ni m1 wapo wa aliowalaghai? Au ni mkereketwa wa kanisa hiloo???
Duniani kuna mambo kweli.
Nilikuwa nadhani matapeli kama yeye wapo huku nairobi peke yake kumbe hata tz mnatuzidi?
Huyo asingesurvive hapa nai kama angejaribu kuingilia job ya mtu kwa ofisi na kumdismiss ili apate kitu.
Sasa? Si hata watu wa government wanamjua? Mbona hawareact kwake?
Au ndio mabo ya kitu kidogo?
Bona naskia huyo president wenu ni mkali sana kwa hongo? Yeye hamjui huyo mama?
Mimi nilitaka shop pale mafuta house by then but nikaambiwa nyumba yote imejaa, au ndio yeye aliichukua yote?
Jamani hii ni hatari, government officials lazima wakuwe makini maana anaweza kuwaunganisha na hiyo kitu inaendelea bongo ya epa.
Yeye hahusiki na epa?
Naomba infor zaidi
Eeh! Wa miaka 70? Hautakuwa uroda huo.
Labda kwako mkuu, but she looks still consumable and paratable to others!!!
hapa unamfahamu
hapa umeshakuwa mkenya wa nai(robi) na lafudhi imebadilika humfahamu!!!sio wewe ulotutajia jina lake na la kampuni yake?
Labda kwako mkuu, but she looks still consumable and paratable to others!!!
Waeleze!
Huyo anayesema Fauzia ana miaka 70 labda hamjui .
wadau eeeeh!!!!
Huyu jamaa amejiita "mtetezi wao" ameingia kwa jina langu. Infact sijui ni mkenya au anazuga maana simwelewi. Mimi ndo "mtetezi wao" na tayari nimechange password ili asipotoshe jamii.
Namfahamu huyo mama, huyo "mtetezi wao" asiyemfahamu ni tapeli na yeye.
Labda kwako mkuu, but she looks still consumable and paratable to others!!!
wekeni picha yake hapo juu huyo mama tumwone.
Jamani nami naomba muweke picha yake hapa. Inaelekea ni hatari sana kwa utapeli wa aina nyingi. Au ni ndugu yake Papa Msofe nini???? Mods naomba ikiwezekana tuweke topic inayozungumzia matapeli Tanzania na watu wawe wanapost hapo ili tuwafahamu. Hii itasaidia sana.
You never know she may be giving that other infamous service mbadala,just a thought.
WomenofSubstanc, huyu mama huwezi kumwita estate agent, kwa sababu yeye anachofanya ni utapeli typical! huwa anachukua nyumba za mashirika kwa madai wageni wake wa kampuni yake ya EBONY wanakuja kutoka ulaya, so anaingia mkataba kwa jina la Ebony. Then anaziweka nyumba sokoni, matokeo yake analiingiza shirika husika kwenye disputes kwani wateja hapati na anapopewa invoice alipe anapiga danadana kwa kuwalainisha wakubwa husika. Nyumba kadhaa anazozimiliki Masaki na Oysterbay amezitapeli toka kwa mashirika tofauti ikiwemo NIC, NHC, NSSF, Ushirika na Bandari kwa kutengeneza hati na mikataba feki ya mauzo (sale agreements)
Yule mama aliyemtapeli Range Rover nyekundu, amemdhulumu pia heka 500 za ardhi kule Arusha, ameshabadili hati na iko kwenye jina lake.
Leo hii mchana nimepishana naye Barclays House kama kawaida yake anaingia Barclays Bank. wengi wanafikiri ni mwajiriwa wa benki hiyo, na junior staff wanamwogopa balaa.
Inasemerkana amemhifadhi mke wa Meneja wa Barclays Bank aliyetiwa ndani hivi karibuni kutokana na upotevu wa pesa.