Mwanamama akamatwa akiiba pombe dukani

Mwanamama akamatwa akiiba pombe dukani

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,517
Reaction score
13,180
Mwanamama akamatwa akifanya tukio la wizi kwa kuiba pombe katika duka moja hapa mjini kwa bahati nzuri wahusika wanaotoa huduma dukani hapo waliweza kumuona akifanya tukio hilo na kuweza kumtia nguvuni mwanamama huyo mwizi!
 
Heee ni mwanamke wa chugga nini?
 
Mkuu wanaona sasa wachangamkie fursa lkn nadhani ni wa kaskazini
 
Aisee halafu mzuri, hapo inatakiwa mmoja wao aende akapige naye mechi wafungane magoli mambo yaishe
 
Michepuko siyo dili kabisa hii ni video ya pili naishuhudia kina Mama wanataja majina ya mahawara wao wakiwa underpressure bila wao kujua madhara yanayoweza kutokea endapo wake za hao mabwana ama ndugu zao wataona video hizi...Huyu kasema Idd Malamsha ni hawara yake..Na yule aliepigwa picha za uchi wakati akihojiwa na yeye alimtaja Mwanaume mmoja na akasema ni mume wa mtu ila ndo anamuweka mjini....Duh ukichepuka juwa iko siku kitasanuka tu...
 
Mkuu kweli kabisa nimeangalia nimeona anahofu ya kupigwa kwahiyo akaanza kuropoka tu kiukweli bora hata angeiba chakula unaweza sema njaa sasa pombe tena wanazokunywa watu wenye uwezo kweli noma sana!
 
Kisha machupa mawili yote yale, labda anakwenda kuuza...
 
Back
Top Bottom