MwanaJF ndani ya Mwanzaaa!!!!

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,419
12,548
Watu wangu wa Mwanza mambo vipi? Ilemela, Buzuruga, Mabatini, Buhangwa, Airport..!!!!

Baada ya kuingia tu jijini kitu cha kwanza nimeomba nipelekwe kwenye uli mti uliowahi kujadiliwa humu JF, mti kunyonga. Yale maneno yameniuma sana karibia nirudi zangu nilikotoka kwa hasira.
Mimaneno imekaa kivitisho vitisho dhidi ya wanaharakati, wapingao kukandamizwa na serikali dhalimu.

Picha nimeichukua usiku so kama maandishi hayaonekani vizuri tuwiane radhi.View attachment 37641
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
usihof mkuu ila usiogope mana hawa hawa wamerudi kwa njia mpya now hawanyongi ni vita tu hadi tuishe
 

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,419
12,548
usihof mkuu ila usiogope mana hawa hawa wamerudi kwa njia mpya now hawanyongi ni vita tu hadi tuishe

Miaka mingapi huko mbele wataweka minara kwenye makaburi ya watu waliouwawa kwenye maandamano ya Arusha, Zanzibar na kwingine kutakakoibuka na kusema, "Hapa ndipo walipozikwa wahaini dhidi ya Serikali".
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom