mwanajeshi kutoka Iraq apiga mkwara Bar

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Mwanajeshi m1 aliporudi kutoka vtani Nchini Iraq ikabdi aje uwanja wa Fisi kujumuika nac kwenye kikao chetu cha kunywa pombe ze2 ambazo hazihitaji opener na kuanza kupiga mkwara mzito....Mwanajeshi:nasema leteni pombe haraka kabla cjakasirika na kufanya kama nilivyofanya kule Iraq....Basi wahudumu kwa uwoga wakaanza kuharakisha kupeleka pombe kwa afande yule,ndipo Mlevi m1 alipomfuata Mwanajeshi yule ili kujua ni ki2 gani alikifanya nchini Iraq... Mlevi:afande kwani Iraq ulifanyaje pale wahudumu walipochelewa kukuletea pombe?Mwanajeshi:ckununua ki2 nilinyanyuka na kuondoka zangu
 
Back
Top Bottom