PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Mbona tulisoma humu kwamba amehukumiwa kwenda jela miaka miwili?
mkuu karibu jf.
Ukistaajabu ya MUSA Utayaona ya FIRAUNI!TISS wameharikisha kumfunga, Jeshi linamtafuta limhoji! Kweli Tanzania zaidi ya uijuavyo...Maajabu hayaishi...
asanta sana,naona unamtetea gamba wenzako.mkuu karibu jf, ukishakua mkongwe jf utaacha kukurupuka
asante ila punguza uwongo.
Si ndo ata mm nashangaa hii tamthilia?Mbona tulisoma humu kwamba amehukumiwa kwenda jela miaka miwili?
siku nyingine ukifika kwa watu hata kama una mazoea ya kufika mara kwa mara usiingie mpaka uani bila kubisha hodi
jaribu kupitia mada ambazo tayari tumejadili ndiyo uchomoke na ya kwako