MWANAHARAKATI NKANGACHIEF

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,180
12,656
Habari za zenu wakuu, ni matumain yenu kuwa mpo Poa, lengo kuu la kuandika huu uzi juu ya MWANAHARAKATI NKANGA. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza Hapo juu @nkangachief ni mwanaharakati huru aliyefanikiwa kumtia DOLE TEMBO. Mimi nimefatilia sana nyuzi zake nyingi japo kuwa kuna watu wanamuona Kama ni MNAFIKI huyu Jamaa alifanikiwa kumchokonoa TEMBO kuhusu suala la Ajira na matamko ya Ajira hadi TEMBO akatikisika na kuanza kutoa majibu kwa wananchi wake. hakuna jukwaa ambalo hajawahi kupita Huyu mwanaharakati Nkangachief. Humu jamii forum kuna viongoz wengi sana na Huyu mwanaharakati huwa analeta changamoto kwa TEMBO me binafs naelewa sana Harakat zake maana hampi usingizi TEMBO.
Kama kuna mwanaharakati unayemkubali humu jf mkomenti tuendelee kuwajua
 
Back
Top Bottom