Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,787
- 165,481
Muda mfupi uliopia nilikuwa natazama kipindi cha "Jicho letu ndani ya habari" kinachorushwa na star tv.
Kama kawaida, kipindi hiki kilikuwa kinajadili namna magazeti yalivyoripoti habari za wiki nzima na kwa wiki hii mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuhojiwa na Tume ya Maadili kwa mama Tibaijuka na mwenzake Andrew Chenge.Waalikwa katika kipindi hicho walikuwa ni mhariri Balile na mwanahabari Simon Simalenga.
Kauli ya mama Tibaijuka kuwa alitumia shilingi milioni 10 kununulia mboga ilichukua nafasi katika mazungumzo hayo kwani iliripotiwa sana na vyombo vya habari.
Ilipofika zamu ya mwandishi Simalenga kutakiwa kutoa maoni yake juu ya kauli hiyo ya mama Tibaijuka,kwanza alianza kwa kurejea kauli za kejeli zilizopaswa kutolewa na viongozi wengine siku za nyuma ambapo aliitaja kauli ya Mramba kuwa hata watanzani wakila nyasi lazima ndege ya raisi lazima inunuliwe;kauli ya Andrew Chenge, kuwa mabilioni yale ni vijisenti na kauli hii mpya ya mama Tibaijuka.
Cha ajabu,alianza kwa kusema yeye huwa haamini maneno ya kusikia mpaka ashuhudie mwenyewe akimanisha kuwa haamimi kama kauli hizo ziliwahi kutolewa na viongozi hao.Huo ulikuwa ni kama utangulizi tu.
Aliponishangaza zaidi mwandishi huyu ni pale alipojaribu kuetetea kauli ya mama Tibaijuka kuwa milioni 10 ilikuwa ni hela ya mboga tu kwa kusema "inawezekana hiyo milioni 10 mama Tibaijuka alitumia kununulia mboga kwa ajili ya shule anayomiliki".Yaani anajaribu kutuambia kuwa, alichomanisha prof.Tibaijuka ni kuwa milioni 10 zile labda alizitumia kununulia mboga kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake na kwamba waandishi wenzake walitakiwa wachunguze kauli ile kabla ya kuiripoti tu kama ilibyoyolewa.
Swali;
Je,inawezekana mwanahabari huyu yuko sahihi na kwamba waandishi wenzake walitakiwa kuifanyia utafiti kauli ile kwanza kabla ya kuiripoti?
Mdomo Wake Tu Umekaa Kichuchunge Na Macho Yake Nayo Yamekaa Kisanii Sanii Je Wewe Ulitegemea Mbichwa Wake Utoe Madini Kama Ya Mtani Wangu Balile? Na Ili Kudhihirisha Kuwa Huyo Sina Malengo Ni POPOMA Unaambiwa Eti Yeye Ndiyo Afisa Uhusiano Wa Ile Redio Iliyouzwa Iitwayo Njia Ya Kwenda Mbinguni Na Nadhani Uliona Jinsi Balile Na Wale Wanafunzi Akina Mansoor Na Juma Walivyomdharau Na Kiukweli Leo Sina Malengo Ameumbuka Na Amejiaibisha. Huyo Ndiyo Mwanadiplomasia Wetu Siku Za Baadae.
Je Ulisikia Lile Dongo La Mwisho Ambalo Balile Alimtupia Sina Malengo? Siku Nyingine Akijua Kuwa Anakwenda Studio Halafu Mgeni Mwingine Ni Balile Awe Anachomoa Tu Kwani Napenda Mno Balile Alivyokuwa Akimdhihaki Kidiplomasia Kwa Mfano Kuna Sehemu Balile Alimwambia Kuwa Hicho Chuo Cha Diplomasia Unachosoma Wewe Sasa Mimi Nimesoma Hapo Miaka 11 Iliyopita. Hapo Sina Malengo Nilimwona Alivyonywea Kwani Kiuwezo Kumpambanisha Ktk Vipindi Vya Hoja Balile Na Sina Malengo Wa Mawingu Iliyouzwa Ni Sawa Na Kumpambanisha Daniel Sturridge Wa Liverpool FC Na Juma Javu Wa Yanga FC.
CC: PascoMuda mfupi uliopia nilikuwa natazama kipindi cha "Jicho letu ndani ya habari" kinachorushwa na star tv.
Kama kawaida, kipindi hiki kilikuwa kinajadili namna magazeti yalivyoripoti habari za wiki nzima na kwa wiki hii mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuhojiwa na Tume ya Maadili kwa mama Tibaijuka na mwenzake Andrew Chenge.Waalikwa katika kipindi hicho walikuwa ni mhariri Balile na mwanahabari Simon Simalenga.
Kauli ya mama Tibaijuka kuwa alitumia shilingi milioni 10 kununulia mboga ilichukua nafasi katika mazungumzo hayo kwani iliripotiwa sana na vyombo vya habari.
Ilipofika zamu ya mwandishi Simalenga kutakiwa kutoa maoni yake juu ya kauli hiyo ya mama Tibaijuka,kwanza alianza kwa kurejea kauli za kejeli zilizopaswa kutolewa na viongozi wengine siku za nyuma ambapo aliitaja kauli ya Mramba kuwa hata watanzani wakila nyasi lazima ndege ya raisi lazima inunuliwe;kauli ya Andrew Chenge, kuwa mabilioni yale ni vijisenti na kauli hii mpya ya mama Tibaijuka.
Cha ajabu,alianza kwa kusema yeye huwa haamini maneno ya kusikia mpaka ashuhudie mwenyewe akimanisha kuwa haamimi kama kauli hizo ziliwahi kutolewa na viongozi hao.Huo ulikuwa ni kama utangulizi tu.
Aliponishangaza zaidi mwandishi huyu ni pale alipojaribu kuetetea kauli ya mama Tibaijuka kuwa, milioni 10 ilikuwa ni hela ya mboga tu kwa kusema "inawezekana hiyo milioni 10 mama Tibaijuka alitumia kununulia mboga kwa ajili ya shule anayomiliki".
Yaani hapa mwandishi huyu alikuwa anajaribu kutuambia kuwa, alichomanisha prof.Tibaijuka ni kuwa, milioni 10 zile labda alizitumia kununulia mboga kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake na kwamba waandishi wenzake walitakiwa wachunguze kauli ile kabla ya kuiripoti tu kama ilivyotolewa.
Swali;
Je,inawezekana mwanahabari huyu yuko sahihi na kwamba waandishi wenzake walitakiwa kuifanyia utafiti kauli ile kwanza kabla ya kuiripoti?
Uko sahihi, nimeweka post humu nikisema mtu wa CCM hawezi kuongea la maana kwa vile anaelekezwa namna ya kusema na atakalo lisema! He is not an independent thinker! anafundishwa afikiri vipi in line with CCM dictates! Huyo eti kesho awe kiongozi!!!!!!! Unaona kabisa kuwa upuuzi wa CCM umenjaa kichwani!Muda mfupi uliopia nilikuwa natazama kipindi cha "Jicho letu ndani ya habari" kinachorushwa na star tv.
Kama kawaida, kipindi hiki kilikuwa kinajadili namna magazeti yalivyoripoti habari za wiki nzima na kwa wiki hii mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuhojiwa na Tume ya Maadili kwa mama Tibaijuka na mwenzake Andrew Chenge.Waalikwa katika kipindi hicho walikuwa ni mhariri Balile na mwanahabari Simon Simalenga.
Kauli ya mama Tibaijuka kuwa alitumia shilingi milioni 10 kununulia mboga ilichukua nafasi katika mazungumzo hayo kwani iliripotiwa sana na vyombo vya habari.
Ilipofika zamu ya mwandishi Simalenga kutakiwa kutoa maoni yake juu ya kauli hiyo ya mama Tibaijuka,kwanza alianza kwa kurejea kauli za kejeli zilizopaswa kutolewa na viongozi wengine siku za nyuma ambapo aliitaja kauli ya Mramba kuwa hata watanzani wakila nyasi lazima ndege ya raisi lazima inunuliwe;kauli ya Andrew Chenge, kuwa mabilioni yale ni vijisenti na kauli hii mpya ya mama Tibaijuka.
Cha ajabu,alianza kwa kusema yeye huwa haamini maneno ya kusikia mpaka ashuhudie mwenyewe akimanisha kuwa haamimi kama kauli hizo ziliwahi kutolewa na viongozi hao.Huo ulikuwa ni kama utangulizi tu.
Aliponishangaza zaidi mwandishi huyu ni pale alipojaribu kuetetea kauli ya mama Tibaijuka kuwa, milioni 10 ilikuwa ni hela ya mboga tu kwa kusema "inawezekana hiyo milioni 10 mama Tibaijuka alitumia kununulia mboga kwa ajili ya shule anayomiliki".
Yaani hapa mwandishi huyu alikuwa anajaribu kutuambia kuwa, alichomanisha prof.Tibaijuka ni kuwa, milioni 10 zile labda alizitumia kununulia mboga kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake na kwamba waandishi wenzake walitakiwa wachunguze kauli ile kabla ya kuiripoti tu kama ilivyotolewa.
Swali;
Je,inawezekana mwanahabari huyu yuko sahihi na kwamba waandishi wenzake walitakiwa kuifanyia utafiti kauli ile kwanza kabla ya kuiripoti?
Hata Balile na wale wanafunzi wanaosomea uandishi wa chuo cha SAUT nao walimshangaa sana na walianza kumshambulia ila Dotto Bulembo alikuwa akiwazuia wasimshambulie kutoka studio za Mwanza.huyo kichwani kweup,bora arudi aendelee kuigiza na kina mboto
Kiswahili kinapendeza kama utaelezea kitu kwa lugha ya picha. Unapomshukuru mtu wa Iringa kwa msosi aliokupatia, atakujibu 'Ka mbwa kenyewe kalikuwa kadogo" haina maana amkulisha mbwa, anamaana uwezo wake katika kukukarimu ulikuwa mdogo angependa akukarimu kwa kikubwa na kizuri zaidi ya hicho.
Kadharika "Milioni 10 ni hela ya mboga" haimaanishi alinunua mboga, ni lugha ya picha. Ikimaanisha kwa kipato chake na hadhi yake millioni 10 ni hela ndogo sana kushikiwa bango. Ni juu yetu kuchanganua kama mtazamo wake ni sahihi?. Kuna watanzania wasio viongozi wanaotumia millioni kumi kwa matumizi ya kawaida ya siku?
Mkuu kuna waandishi wa habari mataahira au wamenunuliwa na wanasiasa.Muda mfupi uliopia nilikuwa natazama kipindi cha "Jicho letu ndani ya habari" kinachorushwa na star tv.
Kama kawaida, kipindi hiki kilikuwa kinajadili namna magazeti yalivyoripoti habari za wiki nzima na kwa wiki hii mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuhojiwa na Tume ya Maadili kwa mama Tibaijuka na mwenzake Andrew Chenge.Waalikwa katika kipindi hicho walikuwa ni mhariri Balile na mwanahabari Simon Simalenga.
Kauli ya mama Tibaijuka kuwa alitumia shilingi milioni 10 kununulia mboga ilichukua nafasi katika mazungumzo hayo kwani iliripotiwa sana na vyombo vya habari.
Ilipofika zamu ya mwandishi Simalenga kutakiwa kutoa maoni yake juu ya kauli hiyo ya mama Tibaijuka,kwanza alianza kwa kurejea kauli za kejeli zilizopaswa kutolewa na viongozi wengine siku za nyuma ambapo aliitaja kauli ya Mramba kuwa hata watanzani wakila nyasi lazima ndege ya raisi lazima inunuliwe;kauli ya Andrew Chenge, kuwa mabilioni yale ni vijisenti na kauli hii mpya ya mama Tibaijuka.
Cha ajabu,alianza kwa kusema yeye huwa haamini maneno ya kusikia mpaka ashuhudie mwenyewe akimanisha kuwa haamimi kama kauli hizo ziliwahi kutolewa na viongozi hao.Huo ulikuwa ni kama utangulizi tu.
Aliponishangaza zaidi mwandishi huyu ni pale alipojaribu kuetetea kauli ya mama Tibaijuka kuwa, milioni 10 ilikuwa ni hela ya mboga tu kwa kusema "inawezekana hiyo milioni 10 mama Tibaijuka alitumia kununulia mboga kwa ajili ya shule anayomiliki".
Yaani hapa mwandishi huyu alikuwa anajaribu kutuambia kuwa, alichomanisha prof.Tibaijuka ni kuwa, milioni 10 zile labda alizitumia kununulia mboga kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake na kwamba waandishi wenzake walitakiwa wachunguze kauli ile kabla ya kuiripoti tu kama ilivyotolewa.
Swali;
Je,inawezekana mwanahabari huyu yuko sahihi na kwamba waandishi wenzake walitakiwa kuifanyia utafiti kauli ile kwanza kabla ya kuiripoti?
Kiswahili kinapendeza kama utaelezea kitu kwa lugha ya picha. Unapomshukuru mtu wa Iringa kwa msosi aliokupatia, atakujibu 'Ka mbwa kenyewe kalikuwa kadogo" haina maana amkulisha mbwa, anamaana uwezo wake katika kukukarimu ulikuwa mdogo angependa akukarimu kwa kikubwa na kizuri zaidi ya hicho.
Kadharika "Milioni 10 ni hela ya mboga" haimaanishi alinunua mboga, ni lugha ya picha. Ikimaanisha kwa kipato chake na hadhi yake millioni 10 ni hela ndogo sana kushikiwa bango. Ni juu yetu kuchanganua kama mtazamo wake ni sahihi?. Kuna watanzania wasio viongozi wanaotumia millioni kumi kwa matumizi ya kawaida ya siku?
Hayo ni makosa ya Star TV. Huwezi kuleta mjadala mkubwa unaogusa jamii halafu ukaalika watu wenye uelewa finyu wa mambo kujadili kama huyo Simalenga. Alichokisema Simalenga ndio mwisho wa uwezo wake katika kuchambua unategemea nini zaidi? Kama kituo cha TV kinachotazamwa na watu wengi tena wengine wenye uelewa mkubwa lazima utafute Watu Bora wa kujadili sio bora watu, maana nia ya kupata majawabu ya kusudio yatapotea kabisa.
Mfano unaleta mada "Kwa nini Tanzania pamoja na rasilimali ilizo nazo bado inaendelea kuwa masikini?" Halafu wachangiaji wa mada hiyo unamuweka Nape Nnauye au Livingstone Lusinde unategemea kupata nini zaidi ya kuharibika kwa mjadala? Star TV wanapaswa kuliangalia hilo maana wamekuwa na tabia hiyo mara nyingi sana ya kuleta mada ya msingi ila watu wasio kidhi vigezo kujadili.