Ndo umeongea ujinga gani sasa, nenda kaelee hukoArusha kwenye chimbuko la upinzani ingekuwa na wapumbavu kama wewe sijui ingekuwaje leo
Iko hivo kwa sababu ya wana arusha wenyewe boya wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo empty minded kabisa unayesubiri mzungu aje akujengee darasa la kusomea Watoto wako jinga wewe na mvua ndo hizo zaja subiri kuisoma nba. Mbona wenzenu sehemu nyingi tu wamejitolea kujenga madarasa nyie endelezeni umwinyi tu na siasa uchwara za majitaka.
Nimeishia la PILI BMaandishi yako yanakeraaa....hivi hata la nne ulifika wewe!??
Umechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Bora ungekosa mkopo tu ukachunga ng'ombe tungepata maziwa kuliko kwenda kukariri ujinga huo ni hasara kwa taifa.Kilaza namba mbili nimeshampata.
Kazi ya serikali ni kumpa mwanafunzi haki zake ikiwemo na kumwekea mazingira mazuri ya kupata elimu. Serikali kumpatia mwanafunzi haki zake si ombi na wala si hisani bali ni sharti kama ilivyo kwa mzazi ni sharti ampe mwanae mahitaji yake.
Suala la yeye kuchangia ujenzi ni hiari yake na wala hapaswi kulaumiwa kwakuwa si jukumu lake.
Somo la haki za binadamu na sheria ni vyema lifundishwe kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu maana wengi hawajui haki wala wajibu wao.
Pambana na hali yakoPointless Umeishia Kuchapia Chapia Tu Hujui Hata Matumizi Ya Kodi Yako.
Na kodi wanapeleka wapi ? Hiyo ni kazi ya serikaliUmechangia kiasi gani kuondoa changamoto huyo kijijini au mtaani kwenu mkuu au kudhalilisha tu Watoto wa watu mitandaoni. Siyo fear Serikali inaanza na wewe, familia, balozi, mwenyekiti n.k jipangeni ukisubiri Serikali utangoja sana tu.
Pambana na hali yako
Sijawahi bishana na kiumbe dhaifu kama wewe, hivyo we ni wa kwanza kutapika utumbo wakoNdo umeongea ujinga gani sasa, nenda kaelee huko