DEGESWASWA
Member
- Apr 12, 2019
- 86
- 94
Salaam....
Naamini muwazima wa afya wana JF na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku kwa mlioenda kanisani leo Mungu awabariki sana na awape moyo mkuu wenye kumtumainia yeye siku zote.Thumuni kubwa la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri toka kwenu
Mimi ni mwanafunzi katika chuo flani hivi hapa Dar-es-salaam kama mnavyo fahamu maisha ya chuo yalivyo kuna kila aina ya makundi ya watu wenye tabia na hulka mbalimbali, nilipofika chuo nia yangu kubwa sana ilikuwa ni kusoma na kufaulu vizuri ili kudumisha historia yangu katika safari yangu hii ya elimu
Mimi ni mwanaume mwenye hofu Sana na mungu hivyo maisha yangu yote nimekuwa na kuishi ndani yake back to the story nilikutana na wenzangu ambao tuliunda kundi la watu kumi Kati ya hao wadada walikuwa watano na sisi boys tulikuwa watano(gender balance) kikundi hiki kilikuwa mahususi kwaajili ya kudiscuss maswali tuliyokuwa tukipewa na walimu wakati wa kutafuta course work, lakini haikuishia hapo Kati ya wale wadada watano Kuna mmoja nilitokea Sana kuelewana nae hivyo alinikaribisha kwao walipo kuwa wanaishi(geto) na wenzake watatu, chumba na sebule walichokuwa wamepanga na wenzake watatu ilikuwa ni sehemu nzuri Sana kwa ajili ya kufanyia discussion kila siku mbali na ratiba za chuoni aliwaalika watu wengine aliokuwa anafahamiana nao kuja pale dhumuni kubwa lilikuwa Ni kusoma na si kitu kingine
Nisiwe muongo katika hili wadada wale walikuwa ni warembo wenye kumvutia kila mwanaume aliye rijali, maisha yakaongeza mwendo na tukazoenana sana kiasi kwamba tukawa kama watu tuliofahamiana miaka mingi sana iliyo pita kumbe wote tumekuja kufahamiana pale chuoni
Ghafla nikaanza kuona mabadiliko katika masomo yangu nguvu za kusoma nikawa sina disc siendi mwili ukawa Kama mtu aliye bebeshwa ligunia zito tukiwa katikati ya semester nilienda kanisani nakimweleza mchungaji wangu hali ninayo isikia kwa sasa, waumini wa kanisa lile wakaingia mzigoni kufanga na kuomba kwa ajili yangu.Mungu hakubaki nyuma katika hili akajibu mchungaji akaniita kunieleza
Ya kwamba Kuna binti anaitwa(-) huyu binti anakupenda sana lakini anaona husemi chochote kuhusu yeye na anatamani sana hata uje kuwa mume wake baadae ndio maana anakufanyia hivyo baada ya kuona huna hisia zozote na yeye, kiukweli nilibaki kinywa wazi kwa muda kwa maana jina la binti aliyemtaja na sifa zake ni ukweli mtupu ndiye yeye mwenyewe cha ajabu nilipokuwa nikikutana baada ya hali ile niliyokuwa nayo kuniisha macho yake yemejawa Sana na aibu hata salamu hakuna siku hizi.
JE NIFANYE NINI KATIKA HILI
Sent using Jamii Forums mobile app