Kuna dogo amesema anazama ndani ya maji aiseee....
Hebu fatilieni
Akili za kingono ngono tu humuwazi mengine!Jamaa alopost yake bado,nadhani anajishauri.
Kukosa demu kuna sababisah hata mwanaume kujiua,yani wewe upo na mtoto mzuri halafu unajiua ili iweje.
Ungekua umekua mkubwa ungeelewa nilicho maanisha,tatizo bado unasoma kama mtoto mdogo,hebu mtafute mtoto wa form one kisha mpe asome uzi halafu mrejeshe katika comment yangu halafu muulize alichoelewa,hapo nadhani utakua umejipima akili kwa kiasi kikubwa sana.Akili za kingono ngono tu humuwazi mengine!
Wewe unawaza mademu. Mwenzako ana mke na watoto lakini bado swala la kujiua linamkabili!
Pumbavu,πππ mkikua mtajua kuna maisha nje ya ngono!