Mwanafunzi kuhama chuo kimoja kwenda kingine Imekaaje hii Wadau,

Asterisk

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
214
50
Natumain ni wazima.
Nimekua nikitafakari hili la mwongozo mpya uliozinduliwa juzi na kawambwa. Mtu anaweza kuhama kutoka udsm kwenda cbe, cbe kwenda udom, ifm akaenda dit,
Hili limekaaje wakuu,,,
Mimi ninaona vifuatavyo vinaweza vitatokea.

1. Kutakua na mianya ya rushwa hasa kwenye vile vyuo maarufu.

2. Kutakua na matabaka, baadhi ya wanafunzi wa vyuo fulan vitakua vinaongoza kwa kuhama, vingine kuhamia.

Je wewe unaona nin katika hili??
 
Me naona Bola wafutielie mbali suala la kuhama vyuo!! wadau wa vyuo vikuu watupe faida na hasala zake ndo tuone inakuaje!!
 
Back
Top Bottom