Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote;
Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.
China hadi waziri wa elimu angewajibika.
Siku zote nasema hizi shule za kata ni mkusanyiko wa hard core criminal standard seven failures! BRN -wote wahuni aambao walikuwa wavuta bangi hawasomi wanasombwa kwa BRN kwenda sekondari!Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.
China hadi waziri wa elimu angewajibika.
Siku zote nasema hizi shule za kata ni mkusanyiko wa hard core criminal standard seven failures! BRN -wote wahuni aambao walikuwa wavuta bangi hawasomi wanasombwa kwa BRN kwenda sekondari!
Taratibu, kwani hujasikia shule za seminari wanalawitiana?
Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.
China hadi waziri wa elimu angewajibika.
kwani mwl ndiye aliyebaka? wewe mzazi litoto limekushinda huko halafu unampelekea mwl akalifundishe . mijitu inavuta bangi tangu nyumbani na mzazi unamwona halafu humkemei.
hata huyu mkuu wa shule kajibu fedhuli sana nafikiri huo utovu wa nidhamu anaousema wakawaida umgeukie yeye siku moja.....Kwakweli ni tukio baya na ambalo lazima wahusika wakamatwe na waadhibiwe vikali, mama mzazi wa binti amelalamika waalimu wa hiyo shule hawakumpa ushirikiano wowote nao pia wawajibishwe, tunaomba katika hili rushwa ya aina yoyote isipewe nafasi cause itamnyima huyo binti haki yake, uchunguzi wa afya yake pia uzingatiwe..!!
Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.
China hadi waziri wa elimu angewajibika.
Siku zote nasema hizi shule za kata ni mkusanyiko wa hard core criminal standard seven failures! BRN -wote wahuni aambao walikuwa wavuta bangi hawasomi wanasombwa kwa BRN kwenda sekondari!
Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.
China hadi waziri wa elimu angewajibika.
We Pumbavu Sana, Unataka Mwalimu Awemo Darasani Muda Wote? Asiende Kula? We Ukiingia Ofisini Huwa Hutoki Kwenda Kula Au Kunya? Acha Kukoment Ujinga.