Hahaha! i hate that am so late seeing this thread, anyway FA ni FA tu hata wadau mponde vp.. Haters wengi naona wanaponda kwa sababu zao binafsi mara sugu alimleat FA USA na mambo kibao hayo yote hayasababishi mtu kuchukia muziki wake.. Ni msanii gani bongo aliekuza kiswahili kama FA? FA anajua bana, jamaa hana dhiki za kishezi na kielimu ni msanii aliepiga hatua kinoma..