Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 624
Rah PZay B Wapi Kitu Yule Dada "acha Longolongo We Sema Una Sh Ngapi?"hapo Mixer Ngwear Sijui Na Mo X Alikuwepo
Jina Nimelisahau Aisee Nakumbuka Nlisomaga Alikuwa Marekani Katelekezwa Ana Mtoto
Aisee Yule Mwanamama Namkubali Jamani
haliwez tena gameweek kama mbili zilizopita nilimsikia sister P akihojiwa est africa nae anarudi akwenye game sijui huyu adui yake zey B nae atakuja tena kwenye games kama mwenzie
pia Rah PPia kulikuwa na mwanadada mwingine anaitwa Da Joh
ZAY B Ukimuona kwa sasa hata bure umchukui
NAKAZIATuma picha
Unataka kumuweka kene Shift ya usiku ?NAKAZIA
mpaka mda huu bila bila, nasubiria kapicha hapaUnataka kumuweka kene Shift ya usiku ?
mpaka mda huu bila bila, nasubiria kapicha hapa
kama ya Zay B hola,
😂Ariana mchezo Jr 3.kama ya Zay B hola,
ya Ariana itafaa, Azzan Jr 2
😂😂Selfika imefungwa ningeweka kwa niaba na Leo nilipania nikaiweke au una shaurije ?pisi ya Amana hiyo
weka yake niweke ya Mou
SU
nilikua nanyatia mle kimya kimya na kutengeneza album yangu😂😂Selfika imefungwa ningeweka kwa niaba na Leo nilipania nikaiweke au una shaurije ?
😂Una roho ya Kijumbe Kamanda, Yani haiwezekani una crawl Kama kenge wa Pakistan na mizigo huntumii mwanao😂😂.nilikua nanyatia mle kimya kimya na kutengeneza album yangu
album iliyokosa picha ya Ariana
🤣 🤣 🤣 kwani wewe uko chamani ?mizigo huntumii mwanao